Nakumbuka nilipoenda kubeba clay roofing tiles za nyumba yangu hapo Ruiru niliona lori nyingi sana za Bongolala na Uganda zikija kuchukua mzigo. Hapo nilielezwa hamna kampuni inayotengeneza clay roofing tiles huko. Hii picha niliipiga mwenyewe.nairobae I challenged you to mention a single product manufactured in Kenya that isn't manufactured in Tanzania
Tanzania hawavai mitumba mzee. Kariakoo yote hakuna mtumba hata mmoja. All Brand newWakenya wanaimport nguo through kariakoo kisa huku kumepigwa marufuku mtumba kupitia Mombasa. Same way Wakenya wakitaka kumimport gari mzee za 15 years wanaimport through Uganda ama Tanzania na Wana register huko huko.
Hata window panels for cars hawatengenezi.Nakumbuka nilipoenda kubeba clay roofing tiles za nyumba yangu hapo Ruiru niliona lori nyingi sana za Bongolala na Uganda zikija kuchukua mzigo. Hapo nilielezwa hamna kampuni inayotengeneza clay roofing tiles huko. Hii picha niliipiga mwenyewe.
View attachment 3307223
Sijaiona Mkenya anafurahiswa kupanda buses Kama hawa wachawi. Ni Kama wengi wao wametoa kijijini ndani penye hakuna hata barabara pikipiki, so wakipata chance ya kupanda gari wanafurahia kweli kweli😂😂Yani boarding a bus ndio inakufanya uropokwe haya yote? Enyewe Vumbistan mko nyuma. No wonder Kuna mmoja we alipanda basi kuenda Moshi hatukupumua humu.😂
Tanzania mitumba hatuvai mzee. Msikilize mkenya mwenzako hapa.Wakenya wanaimport nguo through kariakoo kisa huku kumepigwa marufuku mtumba kupitia Mombasa. Same way Wakenya wakitaka kumimport gari mzee za 15 years wanaimport through Uganda ama Tanzania na Wana register huko huko.
Hata sijui hawa wachawi wanatoa nguvu wapi ya kulinganisha their pathetic grazing fields na Kenyan Stadiums.Na imagine sii hata utani.🤣🤣
Me naona running track tu we unaona nn hapo? Hata majukwaa hakuna.Na imagine sii hata utani.🤣🤣
Yaani unafikiria Kenya tuna ubaguzi kama nyinyi 😂Tumesema mara kibao kwamba wakenya hawana akili wakawa wanabisha 👇👇View attachment 3307194
Kenya Airways Appoints Fitsum Abadi Gebrehawaria As Director
Kenya Airways (KQ) has named aviation industry veteran Fitsum Abadi Gebrehawaria as its new Cargo Director in a Monday, April 14 notice.thekenyatimes.com
Sio Tu nguo mna import from Tanzania bali hata viatu, mabegi, chupi, cosmetics etc je hivyo vyote ni vya mtumba? Govinda mwenzio mnuka mavi aliomba aoneshwe machimbo ya chupi, unataka kusema alitaka chupi za mtumba? Ukishindwa kubali wacha propaganda za kizamani, kwanza Mme ban lini nguo za mtumba wkt report zmetoka mnaongoza kutumia nguo za mtumba duniani.Wakenya wanaimport nguo through kariakoo kisa huku kumepigwa marufuku mtumba kupitia Mombasa. Same way Wakenya wakitaka kumimport gari mzee za 15 years wanaimport through Uganda ama Tanzania na Wana register huko huko.
News hii hapa:Sio Tu nguo mna import from Tanzania bali hata viatu, mabegi, chupi, cosmetics etc je hivyo vyote ni vya mtumba? Govinda mwenzio mnuka mavi aliomba aoneshwe machimbo ya chupi, unataka kusema alitaka chupi za mtumba? Ukishindwa kubali wacha propaganda za kizamani, kwanza Mme ban lini nguo za mtumba wkt report zmetoka mnaongoza kutumia nguo za mtumba duniani.