Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mawazo ya Tanzania? Mawazo gani wakati nyinyi ndio sasa mnafikiria kujenga indoor arena? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Are you listening to yourself?
Arena ipo Tz na tulisha share humu japo ni ndogo lkn ipo, je nyinyi mna BRT?

Hakuna kitu kipo Kenya kikakosa kuwepo Tz but kuna vingi vipo Tz na havipo Kenya.
 
Duh kumbe nimemkatili tu mwanangu Teargas. We nae una mdomo sana shida yako. I could have helped you. Sema nini Njoo inbox nikupe connection za wachina kadhaa hapo kariakoo utengeneze pesa mkuu.
Siku ya kunisaidia ilishapita wewe baboon. I’m currently getting them somewhere.
 
One is a fake box from China and the other was built right here in Kenya
 
so assemble ikifanyika china ni fake na ikifanyika kenya ni original kwani marcopolo ni kampuni ya kenya ??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hvi nyinyi kwann hua munakua mafala kias hichi
Hiyo Marcopolo ya Katarama was built right here in Kenya upende usipende.
 
wacha tu nicheke ila wakenya ni wapumbavu sijapata kuona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

mbona hajaonesha process yote kuanzia raw material mpaka inakua Type C cable

anakuja kuwadanganyia kwenye nn hapo?
Unaona tu vile your first milk powder mlitengeneza 70 yrs after Kenya, Hivo ndio pia hii ya USB itakuwa. Actually I doubt Kama hata mtaweza kutengeneza USB.


View: https://x.com/Its_Muthungu/status/1829856292036304955

View: https://x.com/Its_Muthungu/status/1830132639421907066
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…