Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maneno ya kinywa cha mtu mpumbavu. 🀣🀣🀣🀣.
 
Makwapa ilikuwa msaada kutoka kwa mume wenu macho madogo mchina baada ya kuona mnateseka sna kuandaa national events. Ccm haina historia ya kujenga uwanja zaidi ya 30k capacity kitu ambacho tulifanya in the 80s
Kwani Kasarani si ni donation ya Wa China na funding ni za wachina hadi za kukarabati in 2010 zilitoka huko
 
Hivi ndivyo uwanja wa football unafaa kuwa, mambo ya 2km away ni uchafu ambao haustahili mechi kubwa. Makwapa hata mfunge viti 100k lakini haiwezi kupata hizi aura πŸ‘‡πŸ˜πŸ˜View attachment 3306514
Kwahyo unataka Olympic stadium uwe Football stadium?

Ule ni olympic standard na simply unaweza tolewa track ya kukimbia ukawekwa jukwaa so if they want they can . But no need cause Simba au Yanga they will construct their own football stadiums if they want . For Pure Soccer
 
Sio kila kitu ni mashindano na ushabiki ndugu.
iko wapi hip irizar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapa siongelei ushabiki ila najua namna muhindi anavojua kucheza na akili za mashabiki wa simba kawadanganya vitu vingi sana over 9 yrs, aliwadamganya atajenga uwanja wa kisasa na hostel za kisasa haya ziko wapi so far na ni 9 good yrs, billion 20 za hisa mpaka leo anaruka ruka tu kama mkojo wa bar kila akiulizwa anapanic πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kila siku Mambo mazuri yanatokea Tanzania pekee.

Mtoto raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 8 Mwanafunzi wa darasa la 3, Ranonkhalil Ramadhani Majirani amefanikiwa kujiunga na akademi ya Atletico Madrid nchini Hispania kwa ajili ya majaribio ya siku 6 kuanzia April 12 hadi April 18
 
mpuuzi wewe usokua na akili hapo ni dhaka bangladesh kazi kuokota picha ovyo tu google na kuja kujidanganya humu alaf bado kuna mipumbavu ina like kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwamba hapa ni Dhaka Bangladesh?
🀣🀣🀣🀣
Nilikuambia Mombasa itakukosesha usingizi, na bado!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…