Kilimanjaro international airport haipo Arusha town. It's located 40kms away from Arusha town. The only airport within Arusha town is Arusha airport. Kadanganye wajukuu wakoMombasa city haina 5 star hotel! Pia kumbuka Arusha ina viwanja viwili vya ndege KIA na Arusha airport at her disposal! Aside that pamoja na kuwa na fukwe hamna uaafiri wa maana wa majini kwa ajili ya abiria!
Akitoka dar tutamshauri apitie na huko govina kwa jirani
Unanionyesha potholes? 😂😂😂 Nikuketee potholes za Dar tucheke?
Why are you so easily manipulated by AI?..😄😁What modernity is in this prison? Soma vizuri hiyo AI, zipo wapi international brands hapo? View attachment 3301393
Angalia upya hii video ujipige kifua ujiite Mpumbavu
View: https://www.instagram.com/reel/DIT1WxEsYM_/?igsh=Yzc4ZjBtZGo1bnRt
Mbona ujibu paragraph ya mwisho pekee? Hizo zingine haujaonaa? Ama ndio kujitoa ufahamu?🤣🤣Ngoja nijibu paragraph ya mwisho.
Dodoma Ndio mji ambao uko connected (Ukitoa bahari) kuliko miji yote East Africa kwa njia ya nchi kavu
Mtu akitoka Dar kwenda Dodoma atatumia saa 1 kwa njia ya nchi kavu
Roughly same Distance mtu akitoka Nairobi Hadi Mombasa atatumia masaa 6 at Best.
Hadi tunaanza AFCON Dodoma itakuwa na modern airport kuliko zote zilizopo Kenya.
Kazi yenu kubwa na mtihani mliobaki nao sasa ni kuwa wasafi hapo Nairobi otherwise tutaandaa mashindano yote
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣This background image will rep East Africa very well unlike a certain unnamed fishing village with Uswaziland background.🤣🤣
View attachment 3301732
Kuna airport yoyote hapo kunyarenda ya kushindana na Msalato airport .? Soon tunaifungua na utakimbia huu uzi.Mbona ujibu paragraph ya mwisho pekee? Hizo zingine haujaonaa? Ama ndio kujitoa ufahamu?🤣🤣
"Dodoma Ndio mji ambao uko connected (Ukitoa bahari) kuliko miji yote East Africa" 😂😂 where did you read this? Ama umetoa tu akilini ili ujiliwaze?
Napenda mnavyojipa matumaini. Endeleeni kung'oa viti makwapa na kuchanua nyasi mle ndani. Of course AFCON mtaanda pekee yenu
Mlijenga au mlipewa kama msaada na wachina?60k tulijenga kabla smartphone hazijaingia, nyie ni washamba.
Umeanza kuruka hapa na pale just to remain relevant. KumbaffKuna airport yoyote hapo kunyarenda ya kushindana na Msalato airport .? Soon tunaifungua na utakimbia huu uzi.
Unajisumbua tu😎🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3301738
Aibu iliyoje kwa Afrika Mashariki
Kuna uwanja wa ndege wa kushindana na Msalato airport huko kundurenda.?Umeanza kuruka hapa na pale just to remain relevant. Kumbaff
😭😭😭😭Unajisumbua tu😎
Hiyo Msalato iko wapi? How many passengers does it receive annuallyKuna uwanja wa ndege wa kushindana na Msalato airport huko kundurenda.?
Ni kwamba wew ni mwehu au kama kawaida yako.? 🤣🤣🤣Hiyo Msalato iko wapi? How many passengers does it receive annually
Jibu swali wewe mnyamweziNi kwamba wew ni mwehu au kama kawaida yako.? 🤣🤣🤣
Why will the opening and closing matches happen in a non footballing county? Unadhani kuwa na kiwanja kimoja funded by china makes is all it takes ?Tuliwaambia Opening na Closing Matches Lazima zitachezwa Kenya mkaona ni Mchezo 😂😂😂. Never joke with Kenya's work Force. Na Bado Kasarani haijaingia phase 2. Mtatoroka 😂
View attachment 3301613