chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
Sasa nani kakwambia hili eneo bado lipo hivi.? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.We like criticizing.. thatโs how some things get noticed and fixed. Remember the Chaka road in Kilimani? Its now fixed ๐๐
Thatโs why nilikusho tofauti yetu na yenu ninyi mkiwa na hayo miundombinu duni bado mnasifu rais wenu.
Ama unataka kuniambia kila kitu iko sawa? Jibu bila kusahau nimekuwa hapo mwenyewe ๐๐View attachment 3297523
Kawaida ya Mibongolala kutafuta pa kutorokea wakishabanwaDuh picha ya kitambo kweli kweli kabla hata hizo jengo pacha hazijaisha.
Leta ushahidi kwamba kumebadilikaSasa nani kakwambia hili eneo bado lipo hivi.? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.
Watapandisha kwa kutumia midomo yao kutoka 2300MW walizonazo mpaka 4500MW ili tu wajifurahishe kwamba wameipita Tanzania, Kenya's online development ๐ฎ๐ฎ๐๏ธ๐๏ธIt is now official Tz inazalisha MW 4,031.7 za umeme na zote zipo kwenye gridi ya taifa tayari. ๐๐พ.
View: https://www.instagram.com/reel/DIOHkmQM8Vx/?igsh=OXBxeml1bGE3bmV0. Kenya kumbe wao wanazalisha ngapi vile.? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.
Haya mauwazi yanakuaga ya nn?
Lete current pictures acha hizo za za enzi ya Mkapa na Kikwete.Kawaida ya Mibongolala kutafuta pa kutorokea wakishabanwa
Mahakama iko wapi hapo? Wacha ujinga na usifikiri wote ni magovi kama wewe.This is Paris. But since you live in a glorified fishing village, you wouldn't understand anything View attachment 3297765View attachment 3297768View attachment 3297769View attachment 3297771
Ume crop picha ili ujifurahishe but you know the reality that there was a huge construction of BRT road pembeni hapo no wonder ukachukua picha inayokupa faraja ya muda mfupi.We like criticizing.. thatโs how some things get noticed and fixed. Remember the Chaka road in Kilimani? Its now fixed ๐๐
Thatโs why nilikusho tofauti yetu na yenu ninyi mkiwa na hayo miundombinu duni bado mnasifu rais wenu.
Ama unataka kuniambia kila kitu iko sawa? Jibu bila kusahau nimekuwa hapo mwenyewe ๐๐View attachment 3297523
Nimesome comments za wakenya hapo. Aisee wao wanabisha kila kitu cha Tanzania, ni kama vichaa vimewapanda vile. Siku hiz mitandao imewaumbua sana
Enda uliza wale wenye waliwajengea a half donut stadium.Haya mauwazi yanakuaga ya nn?View attachment 3297791