Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Kwahiyo ni battle ya morocco na kilimani.? Tunaenda nayo right.?View attachment 3295829
Yaani ata Kilimani pekee pameizidi, sio Westlands, wala Parklands or UpperHill ama Eastleigh..., Kilimani tu hehehe
View attachment 3295829
Yaani ata Kilimani pekee pameizidi, sio Westlands, wala Parklands or UpperHill ama Eastleigh..., Kilimani tu hehehe
😂😂😂Hii ndio refference yako.? 🤣🤣🤣
Skiliza Lipa kwa simu zipo kila kona ya Tanzania hii… na kila siku mobile money mitandao inaongezeka. Ever heard of Azam pay..? 👇🏾View attachment 3295771hii hauhitaji kuwa na sim card. Na ni useful hata ukiwa na kiswaswadu unabonyeza zako hizo USSD code unatumia.
Watu kwasasa tupo mbali sanaaa budaa. 🤣🤣🤣 we endelea kutupigizia kelele za Mpesa.
Nyie hamna chochote cha kushindana nasi. Sera yetu ya maendeleo ni “ujamaa na kujitegemea”. Hapo kwenu wazungu wakitoa mitaji yao, wote mnakufa njaaa 🤣🤣🤣🤣 wazungu wakigoma kujenga, hata magorofa marefu mtaishia kuyaona kwa TV. You are not our competition. Sisi tunajiweza. Ndio mana tunamiliki uchumi wetu.
Wewe kweli chizi unapost render kweli.? 🤣🤣🤣🤣 unaijua miradi ya nyumba pesa za serikali.? Majengo yote marefu ni mali ya serikali. 🤣🤣🤣 na majengo karibu yote in posta, Upanga na kariakoo ni mali ya serikali.Na hii si pesa ya umma.
Not only are we not playing in the same league, we're not playing the same sport. 😅 😅
Jabali Tower 35 floors - Tatu City
View attachment 3295832
Skyline, Westlands (30 fl)
View attachment 3295837
1870 West, Westlands (37 fl)
View attachment 3295838
View attachment 3295839
Grosvenor, Westlands (30 flr x 2)
View attachment 3295840
This is not even a comprehensive list from Nairobi.
How many buildings of 30flrs and above are under construction in the whole of Bongo?
How many or those are under construction by private developers?
Na hii si pesa ya umma.
Not only are we not playing in the same league, we're not playing the same sport. 😅 😅
Jabali Tower 35 floors - Tatu City
View attachment 3295832
Skyline, Westlands (30 fl)
View attachment 3295837
1870 West, Westlands (37 fl)
View attachment 3295838
View attachment 3295839
Grosvenor, Westlands (30 flr x 2)
View attachment 3295840
This is not even a comprehensive list from Nairobi.
How many buildings of 30flrs and above are under construction in the whole of Bongo?
How many or those are under construction by private developers?
saivi hadi watu binafsi wanazo lipa namba zao. 🤣🤣🤣.
Binafsi ninayo ya Airtel. 😂😂😂saivi hadi watu binafsi wanazo lipa namba zao. 🤣🤣🤣.
Huu mradi mzuri na ungeweza kubadilisha kabisa hilo eneo ila tatizo unasuasua.
Me nashangaa hawa jamaa wanaona ni vitu vikuubwa. 🤣🤣🤣 ujue hawa wajinga wapo nyuma sana.Binafsi ninayo ya Airtel. 😂😂😂
Lazma waje kuponda wakati wao bado wako jengo la mkoloni!Waambie hii hapa Pentagon inakuja ili waumie vizuri.
View: https://youtu.be/zLGDG8y4x8E?si=1ka7orahhGk2jUuc
View: https://x.com/gcumod/status/1621384513136754689?s=46
Nakumbuka yule waziri wao Msomali Duale aliongea mbele ya media kusema wamefanya renovation kwa vile Tanzania imejenga Ikulu mpya!Hii renovation mbona imefanania msikiti! Hizi ngumbaru za humu si huwa wanaponda majengo ya bongo! Imekuaje tena!
View: https://x.com/magwaz3/status/1902398695846322243?s=46
Hili jengo mbona limeshaisha tayari. 👇🏾.Waambie hii hapa Pentagon inakuja ili waumie vizuri.
View: https://youtu.be/zLGDG8y4x8E?si=1ka7orahhGk2jUuc
View: https://x.com/gcumod/status/1621384513136754689?s=46
We govi statistics za Kenya bureau if of all mobile transactions including from banks na other network providers lakini haifiki hata nusu ya huo upumbavu wako ulioulokota huko vichochoroni, sikujua kumbe magovi English ni challenge 😂😂😂Is the word 'agent' coming after mobile money, giving you a stroke when you read it?
View attachment 3295823
FY2024
Mpesa Deposit/Withdrawals (Agent) = Sh8.7 Trillion
Mpesa transfers (P2P) - Sh6.2 Trillion
Mpesa bill payment - Sh25.6 Trillion
Please go and compare your notes with Burundi.
In the whole of Africa, only Nigeria can perhaps pull higher mobile money figures than Kenya.