Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata nikiweka gated communities 10 hapa kesho utakuja kusema sentesi hii hii, sahii hatupigizani kelele na wapumbavu, ikibidi kuwakumbusha of what we have tutafanya hivyo. Otherwise we jifurahishe tu. Hatuwezi jadili kitu kimoja everyday.
Kumi pekee tulidhani hata utatuambia mia.
 
Bongolala, hasira zako peleka uswazini Tandale. Is it a lie the Chinese investors couldn't continue with Avic Town because of lack of buyers? Mibongolala hawana purchasing power. Inauma ila huo ndio ukweli
Source kutoka mathare, alafu "hatufuatilii mambo ya bongo" zen una mpaka details ambazo mm mbongo sina.
 
Out of a sea of fans with club jerseys mmetafuta mmoja mwenye jersey tofauti huyo ndio amekuwa news? Saa zingine huwa mnakaa wendazimu. Hivi Simba ikicheza Kila mtu huwa amevaa jersey ya Simba?
Leta picha mbongo kavaa jersey ya timu ya Kenya hata kama sio kwa mkapa, lete yoyote ilee, watanzania hawajui hata kama kuna ligi ya mpira wa miguu huko kwenu.
 
Hata nikiweka gated communities 10 hapa kesho utakuja kusema sentesi hii hii, sahii hatupigizani kelele na wapumbavu, ikibidi kuwakumbusha of what we have tutafanya hivyo. Otherwise we jifurahishe tu. Hatuwezi jadili kitu kimoja everyday.
Wakenya wengi wana ugonjwa wa kusahau sahau kwasababu ya lishe duni tangu wakiwa wadogo.
 
Hata nikiweka gated communities 10 hapa kesho utakuja kusema sentesi hii hii, sahii hatupigizani kelele na wapumbavu, ikibidi kuwakumbusha of what we have tutafanya hivyo. Otherwise we jifurahishe tu. Hatuwezi jadili kitu kimoja everyday.
Dar nzima gated communities zinafika hata tano?🤣🤣🤣
Mbona unatamani vitu hamna?
 
Nilikuacha ile mwanzo kumbe unaendelea kuleta ufala.

Sasa jengo la mahakama lipo dom CBD.? Mana umejitia umuhimu wa kutosha. Heb ngoja nikushughulikie ipasavyo..


How do you expect an important building like that not have a ģáte.
Hapa ni marekani Washington and what is this.


Unaongelea CBD. Nyinyi Parliament yenu, ofisi ya Rais nk viko CBD na vyote viná ģáte.
 
Trying to Gaslighting eeh.

Hatuingii humo we Kenge,

Tunaleta Quality cause tuna malengo makubwa na vilabu.

Huwezi zoea kila siku domestic ambao wanabweteka.

Tuoneshe Ligi ambayo club kubwa ambayo imejaza domestic.

Your gaslighting failed.
Dude, if y’all don’t pay your local players well, you don’t pay them well, stop beating the bush about it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…