Kenya that has always beaten you ama kuna Kenya nyingine?Compared to third world and non football nations like Kenya, yes we are.
Is this Tanzanian team and a Indian Team?
Kundustan teamIs this Tanzanian team and a Indian Team?
Hiyo mbweni utawezananayo au unanipia kelele tu.?Since 2017 jibu hua hii tu alafu hivi majuzi mumeongeza Mbweni + vichaka.
Jamaa ni mbwigambwiga roho ya choyo inamkereketa kuona jiji linajengwa from scratch wakati Rais wao anazindua mitaro! Lazma atoe povu juu ya vitu minor kama ukuta wa majengo!Kila taifa Lina utaratibu wake sisi utaratibu wetu ndiyo huo kuweka walls kwa kila office, tumeamua kubaki na msimamo wetu, usilazimishe sisi tuwe kama nyinyi kwamba kila wanachofanya weupe ndiyo usasa, nyie hamna basics ndiyo mana mnayumba yumba, Leo mzungu akiweka walls na nyie mnajenga, kesho akiondoa walls na nyie mnaenda kuvunja. Taifa la kimavi sn Kenya, hamna msimamo kabisa ******* nyie.
madawati ya mashuleni soma vzrSikuelewi unabishia nn? Ujenzi wa jengo la mahakama linalozinduliwa ama?
Kwani Bongo ni North Korea ?โฆ. ๐คฃ๐คฃ๐คฃYou're very stupid of you think the president appoints the coach. Yani mmeabudu Rais Hadi mnadhani Kila kitu ni Rais.
Wewe ni mjinga na ujui nini unasema. Serikali imesha ajiri makocha wengi tu huko nyuma chini ya ofisi ya rais, moja ya makocha hao Mbrazil, Marcio Maximo, Mdenish Jan Poulsen.You're very stupid of you think the president appoints the coach. Yani mmeabudu Rais Hadi mnadhani Kila kitu ni Rais.
Wanachukua makocha toka Burundi wakina Ndairagije, Mneigeria Amunike, Algerian Amrouche na Mzawa Hemed Morocco kwakua mshahara unapigwa pasu na baadhi ya viongozi pale. So, ni makocha poa tu wasio na soko la ajira watakubali conditions hizo za kugawana mshahara. Na hili limekuja kipindi cha huyu Wallace Karia.Sijajua ni kwnn tff wanang'ang'ania makocha wa kiarabu, mara Algeria mara Morocco, hii yote ni kukimbia gharama, kwnn wasichukue makocha bora ambao wamefanya vzr ulaya huko?
Kila taifa Lina utaratibu wake sisi utaratibu wetu ndiyo huo kuweka walls kwa kila office, tumeamua kubaki na msimamo wetu, usilazimishe sisi tuwe kama nyinyi kwamba kila wanachofanya weupe ndiyo usasa, nyie hamna basics ndiyo mana mnayumba yumba, Leo mzungu akiweka walls na nyie mnajenga, kesho akiondoa walls na nyie mnaenda kuvunja. Taifa la kimavi sn Kenya, hamna msimamo kabisa ******* nyie.