Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

aliidina tower mombasa jengo linaanguka any time lina 10 floors 😂😂😂

hawa ndio watu wamesoma yani jengo jipya kabisa halina hata dhambi wala zindiko 😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Your browser is not able to display this video.
 
Kila taifa Lina utaratibu wake sisi utaratibu wetu ndiyo huo kuweka walls kwa kila office, tumeamua kubaki na msimamo wetu, usilazimishe sisi tuwe kama nyinyi kwamba kila wanachofanya weupe ndiyo usasa, nyie hamna basics ndiyo mana mnayumba yumba, Leo mzungu akiweka walls na nyie mnajenga, kesho akiondoa walls na nyie mnaenda kuvunja. Taifa la kimavi sn Kenya, hamna msimamo kabisa wasenge nyie.
 
You guys don’t have Tanzanian players you have to hire them from outside and consider yourselves a football nation 😂
View: https://x.com/africafactszone/status/1907879939828789433?s=46
Huo ni wivu Tu wa kimaendeleo, watanzania wanaolipwa vzr pia wapo tena wengi, ingia Google angalia anacholipwa Feisal Salum, ni zaidi ya mishahara ya wachezaji woteligi ya Kenya combined, hizo pesa tunazowalipa ndizo zimesaidia kukuza ligi yetu na kuwa bora zaidi East and Central Africa, na ndiyo imefanya tuwazidi kwenye FIFA rankings na gape linazidi kuongezeka kila siku. Pambaneni na Hali yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…