Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wewe baboon mwenye hujawai toka tandale tukusemeje? Nakumbuka watu hawakumpumzika humu ulipopanda basi kwa mara ya kwanza kwenda Moshi.
Mimi ni traveler wew mama, am traveling karibu kila wiki, yani haupiti mwezi sijasafiri. Ukiona nimepost hapa ni kwasababu, nikisema nipost kila ninavyosafiri hapa utachukia kwa roho mbaya. 🤣🤣 ngoja kwanza nikueleze route zangu ili uumie. Hizi ni safari zangu za mwezi wa pili na watatu

1.Dar-Arusha
2.Arusha-Moshi (nilihudhuria kili marathon)
3.Moshi-Dar
4.Dar-Arusha
5.Arusha-Tanga
6.Tanga-Dar

Nikisema nipost hizi zote utaumwa kichwa. 🤣🤣🤣.
 
Mimi ni traveler wew mama, am traveling karibu kila wiki, yani haupiti mwezi sijasafiri. Ukiona nimepost hapa ni kwasababu, nikisema nipost kila ninavyosafiri hapa utachukia kwa roho mbaya. 🤣🤣
Kutoka mbagala hadi manzese sio kutravel wee kima. Umejifungia Tandale miaka yako yote alafu unataka kujibizana na waliotembea?
 

Kutoka mbagala hadi manzese sio kutravel wee kima. Umejifungia Tandale miaka yako yote alafu unataka kujibizana na waliotembea?
Pita hapo juu. 🤣🤣 hapa enyewe nasubiri Eid elfitri iishe niingie Mwanza. 🤣🤣 mimi ni msafiri malaya hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…