Na hiyo Machakos ndio $155M. So tuendelee.Hakuna lukenya affordable housing ila Kuna machakos housing project leta link inayonesha lukenya project video uliyoweka ni ya machakos.
Nikujulishe tu lukenya hills Iko chini Mrs murwa na wanae ndo wenye university za lukenya na lukenya schools. Leta link ya lukenya housing uliyoleta ni machakos
Iko wapi lukenya housing hapo au unadhani hatujui kuwa lukenya ndani ya machakos
Haya deduct lukenya kwanza kabla sijaendelea kukukosoaNa hiyo Machakos ndio $155M. So tuendelee.
14. Limuru Affordable Housing, $12M.
Total Cost is now at $1.015B.
View: https://x.com/JosephMasta_/status/1897640968016290080
Bado unadaiwa 2 bil na huna uwezo wa kuzikamilishaNa hiyo Machakos ndio $155M. So tuendelee.
14. Limuru Affordable Housing, $12M.
Total Cost is now at $1.015B.
View: https://x.com/JosephMasta_/status/1897640968016290080
Mbona yet nimekuonyesha evidence? Naona ishaanza kuogopa 😂😂.Haya deduct lukenya kwanza kabla sijaendelea kukukosoa
Why are you in a hurry? Ngoja upewe dawa.Bado unadaiwa 2 bil na huna uwezo wa kuzikamilisha
15. Bondeni Affordable Housing $20MBado unadaiwa 2 bil na huna uwezo wa kuzikamilisha
Usikimbie ? Twende twende naona machakos 500mil sawasawa na 155mil usd. Haha15. Bondeni Affordable Housing $4M.
Total is now at $1.099M.
View: https://x.com/WilliamsRuto/status/1625139558168895488
16. Bahati Affordable Housing, $10MBado unadaiwa 2 bil na huna uwezo wa kuzikamilisha
Siku hizi Ksh 500M na $155M?Tulia dawa ikuingie.Usikimbie ? Twende twende naona machakos 500mil sawasawa na 155mil usd. Haha
Kinachotuangusha ni udhaifu wa kudhibiti foreign reserve.Mchina anaingiza mzigo wa dollar lak5 anauza baada ya week anakusanya dollar zetu za kutoka Congo na utalii na kuziagiza China kwenda kuongeza foreign reserve yao,bado wahindi ambao wana viwanda kwaho hawajafanya hivo hivoKuna haja ya kutafuta dawa ya kuanguka Kwa Shilingi kinyume na ukuaji wa Uchumi
View: https://x.com/BloombergAfrica/status/1902248010723013097?t=qoQ34IlE23FVQcegvBrpuQ&s=19
Ukitaka kujua wameumia, hakuna mkenya kacoment kwenye zile marcopolo, so now tumewqpiga nje ndani 🤣🤣🤣🤣🤣Leo tulisema hawataonekana hapa kitu marcopolo kimetua dar kinawaumiza kichwa usd 450,000 per unit kwa unit 40 tu zinazid miradi yao yote ya industrial park
Bungoma Affordable Housing, $32M.Usikimbie ? Twende twende naona machakos 500mil sawasawa na 155mil usd. Haha
Acha kujidanganya hapa wewe nyang'au😎...Every single Kenyan is financially contributing to Affordable Housing...
Housing Levy is a levy which every Kenyan contributes to.Acha kujidanganya hapa wewe nyang'au😎
Ulishamuona Rais Ruto akiapishwa na Rais mwingine?Presidents Office Zanzibar
The President of Zanzibar is the head of the Revolutionary Government of Zanzibar, which is a semi-autonomous government within Tanzania. The current President Dr. Hussein Mwinyi is also the chairman of the Revolutionary Council.www.ikuluzanzibar.go.tz
Sasa mbona unaendelea kutuongopea. Unajua maana ya 'which every...'?😁Housing Levy is a levy which every Kenyan contributes to.