Usijali Tutafika. Ndio Tuko number 7, zimebaki 60+ bado.Bado hatujafika hata 1bil
concordile 101 nakungoja urudi niendelee kukuwekea all the housing projects in Kenya with their cost.
Anyway Acha niweke hii ya Saba nikikungoja.
7. Milimani Affordable Housing Kak
Leta project hujafikisha 1bil inaanza kelele. Project zinatakiwa ziwe za 3.8bilKitu iko 80% complete ndio unaita Loading? Umekuwa confused ama?
8. A Lego Usonga Affordable Housing Siaya, $20MBado hatujafika hata 1bil
Twendetwende8. A Lego Usonga Affordable Housing Siaya, $20M
Total is now at $650M
View: https://x.com/ray_omollo/status/1900050695484592602
9. Lukenya Affordable Housing, $155MLeta project hujafikisha 1bil inaanza kelele. Project zinatakiwa ziwe za 3.8bil
11. Pangani Affordable Housing, $50MTwendetwende
12. Shauri Moyo B Affordable Housing, $140M.Twendetwende
Hakuna lukenya affordable housing ila Kuna machakos housing project leta link inayonesha lukenya project video uliyoweka ni ya machakos.9. Lukenya Affordable Housing, $155M
View: https://x.com/WilliamsRuto/status/1841749638832943207
10. Machakos B affordable Housing,$4M
Total is now at $809M
View: https://x.com/ray_omollo/status/1897215304482115591
Friday Night Basketball na mafans wamejitokeza full house, huko bongoslum kama sio Simba na Yanga huwezi ona sports fans mahali. 🤣 🤣 🤣Who is watching this heated game rn, it’s just gone to overtime play 😂😂
View: https://www.youtube.com/live/OlVLlAiftD4?si=KeIkOZWdEb2H_upGView attachment 3279030
Deduct lukenya hakuna hiyo project9. Lukenya Affordable Housing, $155M
View: https://x.com/WilliamsRuto/status/1841749638832943207
10. Machakos B affordable Housing,$4M
Total is now at $809M
View: https://x.com/ray_omollo/status/1897215304482115591
Nakungoja Urudi. But before I wait, let me put it at $1B alafu nitulie nikikungoja.Twendetwende
Unaumia ukiwa wapi?Deduct lukenya hakuna hiyo project
JKIA inavuja na kutuama maji as u speak! Unabisha?
Na hiyo Machakos ndio $155M. So tuendelee.Hakuna lukenya affordable housing ila Kuna machakos housing project leta link inayonesha lukenya project video uliyoweka ni ya machakos.
Nikujulishe tu lukenya hills Iko chini Mrs murwa na wanae ndo wenye university za lukenya na lukenya schools. Leta link ya lukenya housing uliyoleta ni machakos
Iko wapi lukenya housing hapo au unadhani hatujui kuwa lukenya ndani ya machakos
Haya deduct lukenya kwanza kabla sijaendelea kukukosoaNa hiyo Machakos ndio $155M. So tuendelee.
14. Limuru Affordable Housing, $12M.
Total Cost is now at $1.015B.
View: https://x.com/JosephMasta_/status/1897640968016290080