Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Teargass NairobiWalker mtueleze ufafanuzi why chakula ndio kinawanunua wananchi, na wananchi wenyewe wapo ndani ya DATA NYINGI MNAMWAGA humu.

Namna gani huko?
Leo tulisema hawataonekana hapa kitu marcopolo kimetua dar kinawaumiza kichwa usd 450,000 per unit kwa unit 40 tu zinazid miradi yao yote ya industrial park
 
Do you really know Centum? They can single handedly build Dar from scratch up to where it is currently.

Do you really know Centum? They can single handedly build Dar from scratch up to where it is currently.
Haha nani alikwambia hawako Tanzania, wapo sana ila sisi hatushoboki nao maana ni private entity na hapa tunadiscuss project za serikali. Haya wamejenga Nini Nairobi cha kutisha
 
Hizo affordable housings tu almost zote ni waarabu
So siku hizi serikali ya Kenya ni warabu? Mmezoea kutawaliwa na warabu hadi unadhani kila nchi ni Kama Tanzania. Every single Kenyan is financially contributing to Affordable Housing. For me every month I’m contributing close to 5 Cements for Affordable Housing.
 
Haha nani alikwambia hawako Tanzania, wapo sana ila sisi hatushoboki nao maana ni private entity na hapa tunadiscuss project za serikali. Haya wamejenga Nini Nairobi cha kutisha
Centum hawako Tanzania wewe Malaya. Centum activity is only concentrated in Kenya and Uganda.
 
Do you really know Centum? They can single handedly build Dar from scratch up to where it is currently.
Ndo maana tunakuambiaaga Haina akili
US$372.13 million (KES:48.08 billion) (March 2024)[3]
Yaan kikampuni chenye mtaji wa usd 350mil
Yaan kimtaji cha kampuni za mabasi Tanzania kikajenge dar
 
Nakumbuka ilitokea moja hapa kwetu ya USA tuwalishe pamoja kilichotokea watu walitukana hadi Bashe akalitolea ufafanuzi kama kuna mtu anahitaji kusaidia watu anunue chakula Tanzania na sio kukitoa nje ya nchi hawa mbuzi wa kibera wanakula mchere wa plastiki masikini ni masikini tu hata ajitutumue vipi ukweli utabaki palepale
Hakuna hela yoyote government yao itatoa sababu hata chakula chenyewe ni msaada wa China 😂😂

View attachment 3278829View attachment 3278830
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…