We don’t have Islands in Indian Ocean as big as your Islands. When it comes to lake Victoria, despite Tanzania having many and bigger Islands there none has tarmack roads😂😂😂Ukipata island ya indian ocean yenye international airport kutoka kundustan njoo nikupe ajira
Same hapa!Ikabidi nimuulize huyu jamaa juu ya case ya huyu dada mana imenigusa sn aisee, nashukuru ChatGPT kanipa hope kdg, japo inasemekana co mara ya kwanza kufanya but najikuta naomba kwa Mungu arudi akiwa mzima, may God save her.
View attachment 3278347
View attachment 3278349
This is a $3B project done by Kenyans.
Viongozi ndio walimwambie apeleke dawa za kulevya Vietnam? Yani nyinyi watanzania mmezoea kuuza dawa za kulevya hadi mnaiona tu kawa kitu cha kawaida.
Si tuliambiwa hii barabara iko na lami tangu kitambi. 🤣🤣🤣 the longest road in kundurenda so far. 🤣🤣🤣 kumbe Ndio kwanza mnachimba chimba
On paperThis is a $3B project done by Kenyans.
Actually currently most big projects in Kenyans zinafnywa na wakenya.
Meza wembe.On paper
hakuna project itakayofanyika hapo hela zenyewe mnazo?Meza wembe.
750km umezitoa wapi?
Hili ni ghala sio industrial park
😂😂 Angalia diameter za hizo straws ni public project hii?Ugunja Water Treatment Plant in Siaya County.
View: https://x.com/ray_omollo/status/1899872496603496896
check huyu mhndii wo sasa alivyo mchafuHili ni ghala sio industrial park
Usiwe mpumbau wewe!Viongozi ndio walimwambie apeleke dawa za kulevya Vietnam? Yani nyinyi watanzania mmezoea kuuza dawa za kulevya hadi mnaiona tu kawa kitu cha kawaida.