Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Currency devaluations can be used by countries to achieve economic policy. Having a weaker currency relative to the rest of the world can help boost exports, shrink trade deficits, and reduce the cost of interest payments on outstanding government debts.

Hivi exports za Kenya zimekaaje vile?

View:
Rudi%20shule
 
Asante kwa render.
 
Yataugulia maumivu kwa siku kadhaa alafu atatumwa mtu aje kusema ni second hand ili wajipe furaha ya muda mfupi, zen makenya yataanza kurudi mmoja mmoja na vipicha vile vile vya kila siku πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Tupe maoni yako kaka, unaionaje hii?
Hii haina jinsi na hata kama wa kulaumiwa ni Nyerere as hii project haikuwa na any positive economic impact kwa nchi zote mbili zaidi ya kuitoa Zambia kutoka kwenye bandari ya Makaburu ili tuwe partner jkwenye ile project ya ukombozi.

Wachina walikuwa masikini sana na hii ilikuwa jambo kubwa sana kwa wakifanya bila ya kupata chochote na ni monumental project kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…