Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Well,btn UK and Germany,which country is famous!
 
Hiyo ipo wazi, Kenya ipo kundi moja na USA katika kundi la Developed countries, imeingizwa huko pamoja na njaa yake na mabanda yake ya nguruwe ya Kibera[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kenya iko "low middle income" haipo pamoja na US.
 
It's a secured loan. The final phase was included this year. The Loan for the second phase was secured in 2015. It started way later.
 
Watasepa humu mbona ...nachopendea tz nchi yangu ni kwamba tunafanya mega project nyingi kwa wakati mmoja cku zikiisha kuna watu watachange id humu na kujiita watz nyie subirin tuuu
Mie Mtzee bana lakini kusema ukweli Kenya IPO mbele sana kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…