chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Yeah very true, kila mwaka tunaongeza matumizi kwa zaidi ya 30 percent, SGR yote tu ikikamilika inahitaji megawatts 2500 peke yake kuwa full operational sababu itatumia umeme wetu mpaka DRCBado umeme hautatosha itatubidi tujenge jhhp nyingine kama mbili tuwe salama kwa walau miaka 20 ijayo
Em nipe statistics za 400kv transmission yenu nikupe ya kwetu sababu ninayo hapaHizo numbers umetoa wapi Mr. Primary school dropout? The last time I checked bongoslum has one operational 400KV line, yani hata Dar is a slum is not connected to a 400KV line. 🤣 🤣 🤣 In Kenya all our cities are already connected to a 400KV line. Alafu the last time I checked Kenya ikona parastatal tofauti ya kufanya high voltage transmission, bongoslum kila kitu mumewachia TANESCO, no-wonder bado mko nyuma.
Hivi kwa nini tusikae chini na mrusi, tukapiga kinu kimoja cha nuclear cha 10000MW hiki ni kidogo sana kwa technology waliokuwa nayo. Hapa tuna uhakika wa umeme hata miaka 30 ijayo.Bado umeme hautatosha itatubidi tujenge jhhp nyingine kama mbili tuwe salama kwa walau miaka 20 ijayo
Si muondoke kaanzisheni COW nyingine.I've said it here and I'll say it again and again. Kenya should leave the EAC. We are literally the ones keeping this bogus union standing, we contribute the most money and we always pay on time. Meanwhile, the country that benefits the most from it acts as if they don't even want to be there and always buttlicking SADC. Let's just close it like we did in 1977 and get over with it.
Yaani upumbavu tu.Sasa nyinyi. Kama mmeweza kujenga bwawa la Nyerere 2115MW. Mnashindwa nini mkajenga upya hiz transmission line?
Wananchi wanasema hawana serikali yenye maono.
Kimsingi jana Serikali omepuyanga sana. Watanzania wanataka nchi yao iwe independent kwenye energy. Sasa zile MW zote zitabaki tu bila matumizi kisa tu hamwezi jenga transmission lines?
Nashauri iachane na mpango huo. Ijipange kuboresha miundombinu mdogo mdogo.
Watanzania wengi jana wamekatishwa Támaa na ile hotuba.
Halafu mtu akiachika uko akafungulie bomba mtaan kwetu tufweeeHivi kwa nini tusikae chini na mrusi, tukapiga kinu kimoja cha nuclear cha 10000MW hiki ni kidogo sana kwa technology waliokuwa nayo. Hapa tuna uhakika wa umeme hata miaka 30 ijayo.
Am alerting the moderator, he insulted so many countries…🤣🤣🤣Ni SADC boss sadec ni gani tena
Huna akili.A spelling mistake is a grammatical error wewe nyumbu
You can't handle your domestic bills unaongea ujinga.I've said it here and I'll say it again and again. Kenya should leave the EAC. We are literally the ones keeping this bogus union standing, we contribute the most money and we always pay on time. Meanwhile, the country that benefits the most from it acts as if they don't even want to be there and always buttlicking SADC. Let's just close it like we did in 1977 and get over with it.
Kati yetu na nyinyi nani ameshindwa kulipa Kodi yake ya EAC?You can't handle your domestic bills unaongea ujinga.
Tokeni!
Kwani nyie mmelipa au mmejificha kama kawaida yenyu?😁Kati yetu na nyinyi nani ameshindwa kulipa Kodi yake ya EAC?
Machawa hawanaga akili yani kujenga transmission line wameshindwa wamekimbilia kununua umeme njee sasa huo umeme mwingi tunaozalisha tutamuuzia naniHao kenge wana matatizo sana.
Muda huo huo kuna umeme wameunganishia Kenya unatoka Tanzania.
Kwanini hawawazi kupanua Nyumba ya Mungu, Hale Dam?
Au kujenga Hydropower.
Maana ukiangalia Reservoir ya Nyumba ya Mungu ni.kubwa sana. Same kwa mtera.
Kuna watu akili.zimepinga.
Imagine kuna Mpango.wa kuuzia Zambia Umeme na wewe unadai kuna upotevu.
Si wajenge VITUO VYA.KUPOOZA UMEME sasa?
View attachment 3265841
kwahiyo sgr tannia kwa miezi nane imefanikiwa kubeba abiria sawa na asimia 13.9 ya abiria waliobebwa na nginja nginja kenya kwa muda wa miaka 7 na miezi 7
kwa hiyo baaada ya miaka 7 na miezi 7 itakuwa n wastani wa abiria 23,100,000/= ikiwa na ziada abiria 8.73mil ya wale wakenya na baada ya miaka 15 kuanzia sasa sgr tanzania itakuwa imesafirisha abiria 45mil huku sgr kenya ikiwa na abiria 42.36mil ikiwa ni miaka ni miaka 22 na miezi toka kuundwa kwakehuku tz ikiwa ni miaka 15 toka kuundwa kwake