lini itaaanza ujenzi, asante kwa render 😂Coming up in Tatu City.
30 floors Jabali Tower.
View: https://x.com/Tatu_City/status/1892098506669576294
Mbona mnapenda uongo? Hapa ni Dar is slum?Sema inaonekana huwa unaumia sana ukiona Tz ipo mbele eeh.? 🤣🤣
Imagine ulianza kusema gari ni ya kinsasha congo, ukaleta hadi ushahidi wa videos, na wenzako wakaku support. 🤣🤣🤣
sahii umeona hata, haiwezekani, umerudi kuitafuta picha ukaikagua tena upya. Sahii umekuja Tena unasema picha haikupigwa bongo. 🤣🤣🤣
Hold on. Mbona nyie watu ni waongo sana.?
Kwanini Tz inakuuma sana.? 🤣🤣
Ebu Nenda uibe tena picha za nchi zingine udanganyane nazo. Ulisema ziko Dar is slu?😂😂👇👇lini itaaanza ujenzi, asante kwa render 😂
Hapa ni Tanzania? Wewe Nilikuambia urudi kwenu Yemen juu inaonekana hujui Tanzania vizuri.ww ndio ulikua dereva au ww ndio custom wa TRA au ww ndio ulikua port unaisimamia. sometimes unakua kama chizi vile
Kama hamna nyamazeni.yenu iko wap sasa 😂😂😂😂
Yetu ndio hii👇👇👇yenu iko wap sasa 😂😂😂😂
Hujaichoka? Every project huwa unasema Asante kwa render are now complete. Hata hii pia itakuwa iishe tu.lini itaaanza ujenzi, asante kwa render 😂
Wanasema they have the best infrastracture in East Africa. Sijui ni infrastracture gani wanazo?Hawa jamaa wanatia aibu aisee, mpaka leo hawana automatic doors? Huku kwetu hata vile viwanja vya mikoani huko ni automatic.
Umeshindwa kutuonyesha? Mark my word. That Tesla sio ya mtanzania Bali ni ya Mcongo.
Maswali mengine ni kuwaibisha tu watu. 😂😂😂Ulishawahi kuagiza mzigo kwenye container nje ya Nchi yenu!?
Sioni kiwanda chochote naona picture za watu wameshika silaha, wewe unaona kiwanda cha uzalishaji?
Arsenal ndio kiwanda cha bullets?Ruiru. In Kenya we have more than one.
View: https://x.com/StateHouseKenya/status/1380175184242556933
View: https://x.com/StateHouseKenya/status/1380130680621916160
Huyu mzungu mwenye hii Plaza mnayoita 3 city anajuta sababu ni white elephant kama lamuMore and more industries coming up in Tatu City.
View: https://x.com/KenInvest/status/1896923366788935926
Ninyi hata uniforms tu zimewashinda ndio wafate nini kwenu?Ethiopia following the footsteps of Kenya in manufacturing of military hardwares.
View: https://x.com/Abdrezak1584333/status/1897386652903071783
Sasa mlango ndio infrastructure?Wanasema they have the best infrastracture in East Africa. Sijui ni infrastracture gani wanazo?
Hii ndio inalinganishwa na mombusu?
Unajua meaning ya Arsenal ama wewe Unaongea tu hili uonekane uko na jibu? Bullets is part of Arsenals.Arsenal ndio kiwanda cha bullets?
So hizo silaha walishika wakiwa juu ya mti ama?Sioni kiwanda chochote naona picture za watu wameshika silaha, wewe unaona kiwanda cha uzalishaji?