NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,314
- 19,674
Umeona waganda wangapi kwenye hii ligi? Unazeeka vibaya mzee.kwani kasema viwanja vya Kenya? wacha inferiority complex! Afcon 2027 inashirikisha Tanzania na Uganda pia! Au unajijua tayari kuhusu hii maneno?
Mnapowekaga picha ya viwanja vya Uganda hamjuagi kama hamna waganda humu? Inferiority complex inawasumbua.Umeona waganda wangapi kwenye hii ligi? Unazeeka vibaya mzee.
Sikutaja nchi ila naona umejiongeza kwa kujishuku maana unafahamu kiufasaha after Afcon ni viwanja gani vitakuwa idle. 😂😂😂From hamtajenga uwanja to hamtoweza kuhost AFCON to AFCON ikiisha hamtoweza kumaintain viwanja. I love how you keep adjusting your expectations.🤣
niko serious naomba kujua!
Game on buddy, you up for it?Maneno ya kila siku. Why wakiikosa JKIA wasiende huko Kisumu, maana kila kukicha ni KIA.
KQ diverts some flights from JKIA to Tanzania due to poor visibility
It was not immediately clear how many flights were actually redirected to the Kilimanjaro International Airportwww.thecitizen.co.tz
Why haikwenda Kisumu?
Alafu hadi leo bado hujapata picha za Airport ya Kisumu ikiwa na watu maana unatembea na za Ufunguzi wa jengo.
You got so used to shame it’s not relevant to you anymore 😂
Delta airline acquisition imeishia wapi? Na merger na SAA? Au ni mwendo wa kelele without a stop!
Tulikuwa na vita before? Ama hutaki kuonyeshwa picha zako? Alafu ukweli gani unaongelea? The discussion was about Kisumu and Kilimanjaro lakini wewe na ujinga wako ukaleta JNIA, for what reason now?unaitaka tena hii vita.? I thought umekua… 🤣🤣 kumbe wewe ukweli ni sumu kwako eti.?
Kujishuku vipi na ni kitu mnasema kila siku humu? Watu sii wajinga buanaa. 😂 😂Sikutaja nchi ila naona umejiongeza kwa kujishuku maana unafahamu kiufasaha after Afcon ni viwanja gani vitakuwa idle. 😂😂😂
What I posted is not a street, actually that’s a new development corridor in Kisumu and will be tarmacked this year.Nili post streets za moshi, ukaulizia roads markings sahii unapost hizi za kisumu zenye ni tope. 🤣🤣
Wacheni upumbavu nyie Kilimanjaro international Airport inapokeaTulikuwa na vita before? Ama hutaki kuonyeshwa picha zako? Alafu ukweli gani unaongelea? The discussion was about Kisumu and Kilimanjaro lakini wewe na ujinga wako ukaleta JNIA, for what reason now?
| Statistics (2013) | ||
|---|---|---|
|
| Aircraft | In fleet | Order | Passengers | Notes |
|---|---|---|---|---|
| Cessna 208 Caravan | 4 | 0 | 12 | |
Total | 4 | 0 | |
Vipi mombasa? Isiolo? Acha ujinga 6 Airport zote International zishindwe hadi kwenda nchi nyingine?Because Kilimanjaro is closer than JKIA than Kisumu. Ni nini huwa hamuelewi hapo? In case of diversion planes usually tends to land in the nearby airport to save on fuel crisis.
Hao ndio abiria as usual picha za official visits.Kisumu airport handles more passengers than Kilimanjaro. Take that to the bank.
Nairobi is closer to Kilimanjaro than Mombasa. Make google your friend and stop being stupid.Vipi mombasa? Isiolo? Acha ujinga 6 Airport zote International zishindwe hadi kwenda nchi nyingine?
Here the distance from JKIA to JNIA 👇🏾View attachment 3245243while the distance from JKIA to your shity air strips. 👇🏾 View attachment 3245244from JKIA to amombasa airport 👇🏾View attachment 3245245.. sasa Heb tueleza ni airport ipi ipo closer toJKIA..? 🤣🤣.
Megawattniko serious naomba kujua!