babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,438
- 36,066
Unamsikiliza huyo mwehu, hivi hamjawahi kunotice ana ndugu kila pembe ya dunia! Ikija ishu yoyote lazima aaandike sijui “kuna ndugu yangu kuna rariki yake” bla bla kibao “kijijini kwetu” ana ndugu na marafiki kila sekta duniani.Kwa nini usimwambie babu yako nae aje Ku lease Ardhi alime. Ku lease kuna shida gani kwani?? Mbona kuna watu wakila aina wanalima Tanzania au unafikiri wakenya ndo special?? Kundu lako!!!
alaf yalivokua mafala ni kua toka wamepata uhuru mpaka 2021 over 55 good years wamejenga lami 8000km alaf kutoka 2021 to 2022 ndani ya mwaka mmoja tayar wamefikisha 21,000km inamaana ndani ya mwaka mmoja wamejenga 13,000km hawa watu infact wanalaana ya uongo na umaskini😂😂😂😂😂
Kwani kuna Oloiktoktok ya Tanzania? Mimi nafahamu tu kuna Nairobi Arusha inaitwa Engare Nairobi na pia Kenya kuna Ongata Rongai wakati Tanzania kuna Rongai ukiacha Rombo ya Tanzania na Rombo ya Umasaini huko Watanzania wanamiliki mashamba! Pia Mara Tanzania na Masai Mara Kenya!
Jamaa ana urafiki mpaka na Trump, tena hapo ni kwasababu Trump ni mzungu, angekuwa mweusi pia angesema ni ndugu yake, wakenya bhn, kuna mmoja anakuambia aliwatumia emails Marais wa Africa wasimchague Raila 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unamsikiliza huyo mwehu, hivi hamjawahi kunotice ana ndugu kila pembe ya dunia! Ikija ishu yoyote lazima aaandike sijui “kuna ndugu yangu kuna rariki yake” bla bla kibao “kijijini kwetu” ana ndugu na marafiki kila sekta duniani.
😂😂
Ana ule ushamba wa kutaka kuonekana ana ndugu kila kona ndio maana anatumia nguvu nyingi kudanganya.
I think you got yourself mixed up between Kikuyus and Wachaga … they share similar linguistic and culture..but no way Chaga people are farming in Kenya… leta picha tuone …
Huwa wanadhani kila mtu ana uwezo mdogo wa kufikiri kama wao. 😂😂😂Jamaa ana urafiki mpaka na Trump, tena hapo ni kwasababu Trump ni mzungu, angekuwa mweusi pia angesema ni ndugu yake, wakenya bhn, kuna mmoja anakuambia aliwatumia emails Marais wa Africa wasimchague Raila 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu Wakenya wengi wanaamini hivyo kisa hao jamaa ni entrepreneur ila lafudhi haziendani! Soon utaskia Wakinga wakifananishwa na kabila la Ukunduni! Wachagga wanasikilizana na Wakamba ila si na Wakikuyu!Amka utalowesha kitandani...
Eti nani na nani wana share culture and linguistics!? Hakuna kitu kama hicho mzee.... Hakuna mtanzania fala kama mkundustan.
Hakuna mfanano hata kidogo. Wapo wachaga kwenye huu uzi... Wata comfirm.
Halafu wewe ni ng'ombe ya kondele... Mambo ya wakikuyu yanakuhusu vipi!?
Huyo ni Mumbi mtu wa Kondele hawezi kujiita Mwai ni insult!Amka utalowesha kitandani...
Eti nani na nani wana share culture and linguistics!? Hakuna kitu kama hicho mzee.... Hakuna mtanzania fala kama mkundustan.
Hakuna mfanano hata kidogo. Wapo wachaga kwenye huu uzi... Wata comfirm.
Halafu wewe ni ng'ombe ya kondele... Mambo ya wakikuyu yanakuhusu vipi!?
Huyo ni Mumbi mtu wa Kondele hawezi kujiita Mwai ni insult!
Halafu Wakenya wengi wanaamini hivyo kisa hao jamaa ni entrepreneur ila lafudhi haziendani! Soon utaskia Wakinga wakifananishwa na kabila la Ukunduni! Wachagga wanasikilizana na Wakamba ila si na Wakikuyu!
Wewe kilaza unajua jina Mwai ni ya kabila gani hapa Kenya?Amka utalowesha kitandani...
Eti nani na nani wana share culture and linguistics!? Hakuna kitu kama hicho mzee.... Hakuna mtanzania fala kama mkundustan.
Hakuna mfanano hata kidogo. Wapo wachaga kwenye huu uzi... Wata comfirm.
Halafu wewe ni ng'ombe ya kondele... Mambo ya wakikuyu yanakuhusu vipi!?
Wewe kilaza unajua jina Mwai ni ya kabila gani hapa Kenya?
Kwahiyo jamaa ni Odero? 🤣🤣🤣Jina ni jina tu wewe mumbii...
Mbona unamkataa mwenzio? He is not a proudly tribe man like you. Hiyo Mwai isikuchanganye.
Anamalizia mabaki ya uchaguzi ya Ethiopia 😁wakenya poleni
You always seem to be so mesmerized by Kenya's social media space.🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View: https://x.com/eddie6365622648/status/1892819879255793944?s=46
View: https://x.com/fabmikel/status/1892821657493869042?s=46
View: https://x.com/wreck_it_raph33/status/1892812091418984621?s=46
View: https://x.com/umploompaa/status/1892813563645088083?s=46
View: https://x.com/manlikemen/status/1892812826231619968?s=46
View: https://x.com/cjaythediyer/status/1892811511732609356?s=46
View: https://x.com/_shekhe/status/1892823252294132197?s=46