KichwaNgumu254
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 1,284
- 1,154
Umasikini ndio mmetuzidi peke yake. Natembea Tz hivi karibuni, wewe kama mwenyeji ni wapi kuzuri kati ya Mwanza na Arusha? Pia Southern Tanzania?Tumewazidi kila kitu
Adi uongoz[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa umehepa openly yani umeshindwa kwenye hoja ya choo... hehehe, you clever bro.
Naona wakenya mmeishiwa. Labda uwe hujui tu ndio maana unajichetua hivi. Kwa utalii TZ huwezi kuigusa. Kona zote za TZ mambo ni makubwa sana tukianza kuweka picha hizo utakimbia na hautaonekana tena. Wenzako wanakuona wewe ni mshamba fulani. Waulize kwanza unaonekana kichaa.Naivasha....not yet done!
Were you danganyikans asking whether there are international flights to Eldoret or whether they are direct flights to international destinations? Mbona mnajikanganya na kubadlisha gear kila time? tell us how many DIRECT international flights zinatoka JNIA to Dubai or even USSwali Je zinaenda direct mwisho wa kitovu ama sehemu husika..?
wanaroho mbaya sana hao jamaa na wivu tele😀😀How Kenyans get mad at Tanzanian influence on cecafa
Alafu walivyowashamba hawajui hata namna viewing rights process wanafikiri ni kurikodi tu na kurusha, kipindi kile multichoice Africa wakirusha hawakuongea leo azam ya Tanzania maneno yamekua mengi.wanaroho mbaya sana hao jamaa na wivu tele😀😀
Siku akija bongo hatajutia uamuzi wake, atajionea jinsi mlivyo mdanganya hapo kabla eti lake naivasha ndio pahali pazuri zaidiZuckerberg boosts Kenya tourism by sharing Lake Naivasha beauty to 78 million followers
Zuckerberg boosts Kenya tourism by sharing Lake Naivasha beauty to 78 million followers
I see people asking Logical questions not getting mad.How Kenyans get mad at Tanzanian influence on cecafa
Kwani anakuja bongo??🙄Siku akija bongo hatajutia uamuzi wake, atajionea jinsi mlivyo mdanganya hapo kabla eti lake naivasha ndio pahali pazuri zaidi
Naona kiswahili chakusumbuaKwani anakuja bongo??🙄
seriously muna roho mbaya na wivu sana 😀😀I see people asking Logical questions not getting mad.