Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utamu wa Dar es salaam ni majengo mazuri na ya kisasa.








Jipange vizuri nasikiliza taarifa ya habari kisha nitarejea.
usafiri wa Dar uko poa sana..sadly, we elected sonko as our Governor...sijui kama huo jamaa anweza implement kitu kama hii...
 
zikiwa zimebaki siku chache kwenda kuufunga mwaka 2017,na-repost baadhi ya comment zangu sambamba na picha ambazo kwa namna fulani ziliwashtua wakenya wasiamini kwamba hii ndio tanzania ya sasa na siyo ile ya 90s.

repost:
modern fuel tanks and trucks that transport fuel and commodities in tanzania and nearby countries.

the most common ones are scania, mercedes benz,volvo and iveco.they are all registered in tanzania(number plate says all).
 
yani na uzee wako wa 50 years unasheherekea lorry hizi acha nikuelimishe..mombasa handles 30 million tonnes annually and such lorries are used to ferry products..petroleum in mombasa trasported to nairobi,kampala kigali etc..my friend such lorries are 4 times more in kenya than tz.....dar only had 12 million tonnes
 
ati mwanza vs Mombasa....oh Lord Jesus.......I might reconsider this stupid page...maybe mwanza ijizae mara nne ndio itoshane na Mombasa
Mwanza ni kubwa wewe
Acha zarau
Mombasa inaishi dwa mwanza lkn mwanza kubwa
Dsm ni kubwa sana kuliko miji yenu yote combined coz wa2 ni wengi uku
 
usafiri wa Dar uko poa sana..sadly, we elected sonko as our Governor...sijui kama huo jamaa anweza implement kitu kama hii...
Nadhani operation ya Governments TZ na kenya ni tofauti.
Mfano huu mradi wa BRT upochini ya TANROADS(Tanzania National Roads Agency) ambayo ni Central Government. TANROADS wanahusika na barabara kubwa kubwa na madaraja makubwa. Vilevile kuna TARURA (Tanzania Rural and Urban Roads Agency) vilevile ni central Government Hawa wanahusika na ujenzi wa barabara Rural area.
Kuna TAMISEMI (Tawala za mikoa na Serikali za mitaa) Hawa wanahusika na wakuu wa mikoa na mayors.
Mayor wa jiji la Dar es salaam kuna baadhi ya Barabara anazoshughulikia ambazo mara nyingi ni barabara za mitaa. Wakati huo huo Mkuu wa mkoa anakuwepo kwenye Mkoa kama mwakilishi wa Rais katika mkoa huo. So Mayor anakuwa chini ya Mkuu wa mkoa yeye akiwa ni mwakilishi wa wananchi. So kunanamna fulani fulani ambayo nadhani kuna utofauti katika serikali.
 
airport yenu yente direct flight ni mmoja nchi nzima na sio nyingine ni JKIA hakuna nyingineπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

ila tanzania ziko tatu zeneye direct flight πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Acha ubishi Kijana, mjilinganishe na ma ldc wenzenu, si Kenya. Chris Brown flew directly from US to Mombasa when he came to perform at the coastal city. halafu wale tourists wote wanakuja kutalii Mombasa na coastal region as a whole fly in directly from Europe and Asia. they don't use JKIA. then as you have seen in the pic, cargo planes fly directly to Eldoret from Europe and Asia kupeleka maua ng'ambo. Usisahau kenya is the world's third biggest producer of fresh cut flowers
 
cargo my friend is not passenger flight usilazmishe kiazi kiwe chungwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
What is your understanding of the word "INTERNATIONAL FLIGHT"?
 
He took private jet Kama hapo sawa ila Hakuna direct flight mombasa Wala mamaake eldoret
 
if there are no international flights to Mombasa then how come Chris Brown flew in directly from the US to Mombasa? Na mbona tourists karibu wote wanaotalii Mombasa na pwano ya Kenya hutumia Moi International Airport. Number mtazidi kuisoma ndugu zangu
 
zikiwa zimebaki siku chache kwenda kuufunga mwaka 2017,na-repost baadhi ya comment zangu sambamba na picha ambazo kwa namna fulani ziliwashtua wakenya wasiamini kwamba hii ndio tanzania ya sasa na siyo ile ya 90s.


repost:
modern fuel tanks and trucks that transport fuel and commodities in tanzania and nearby countries.

the most common ones are scania, mercedes benz,volvo and iveco.they are all registered in tanzania(number plate says all).
 
zikiwa zimebaki siku chache kwenda kuufunga mwaka 2017,na-repost baadhi ya comment zangu sambamba na picha ambazo kwa namna fulani ziliwashtua wakenya wasiamini kwamba hii ndio tanzania ya sasa na siyo ile ya 90s.

repost:
modern fuel tanks and trucks that transport fuel and commodities in tanzania and nearby countries.

the most common ones are scania, mercedes benz,volvo and iveco.they are all registered in tanzania(number plate says all).
 
zikiwa zimebaki siku chache kwenda kuufunga mwaka 2017,na-repost baadhi ya comment zangu sambamba na picha ambazo kwa namna fulani ziliwashtua wakenya wasiamini kwamba hii ndio tanzania ya sasa na siyo ile ya 90s.

repost:
modern fuel tanks and trucks that transport fuel and commodities in tanzania and nearby countries.

the most common ones are scania, mercedes benz,volvo and iveco.they are all registered in tanzania(number plate says all).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…