Huu uwanja SI ulibadilishwa design,au utakuwa kama huo kwenye picha?
Wasijichanganye tu kuwapa Tender wale wakandarasi wa ring road Dodoma!
π€£π€£π€£ nimefurahi saaaana. Hii inaitwa kata ngebe. Dodoma inakula stadium. Wajinga wanazurura tu na kelele. Watakufa this year.
Picha kaweka tu mwenye youtube channel kuremba video yake.Huu uwanja SI ulibadilishwa design,au utakuwa kama huo kwenye picha?
Tender anayo yule aliyejenga ule wa Dar maana phase ya kwanza anajenga yeye, Beijing Construction Engineering Group.Wasijichanganye tu kuwapa Tender wale wakandarasi wa ring road Dodoma!
Hapo safi! Wale Avic na mwenzie wapuuzi sana! Wako slow!Tender anayo yule aliyejenga ule wa Dar maana phase ya kwanza anajenga yeye, Beijing Construction Engineering Group.
Heheheheeeee kazi ipo kwa wanuka mavi, nafikiri lengo la serikali ni kuhakikisha tunaandaa hii michuano hata kama Uganda na Kenya wakishindwa, serikali imeshagundua lengo la Kenya ni kuona tunafeli kuandaa hii michuano ndiyo mana walipoona Tz inataka kuandaa wakaenda kuwashawishi Uganda waje kuiomba Tz tuandae pamoja zen wao wajitoe michuano isifanyike, hii yote ni kutokana na ukweli kwamba Kenya haina uwezo wa kuandaa hii michuano, sasa tunajenga uwanja na Dodoma. Do you know what will happen?
Naona kuna reserve for brt katikati, Rai yangu serikali isiruhusu raia kujenga hovyo hovyo pembezoni mwa hii road italeta picha mbaya.
We understand Kenya's approval means a lot to you.Ila wanuka mavi! πππ
View attachment 3225685
Approval kwa vitu vinavyoonekana!We understand Kenya's approval means a lot to you.
I don't speak for the sake of speaking. Mtanzania akijifanya Mkenya nitasema, lakini siwezi Pinga Kila kitu for the sake of it. Hiyo ni tabia ya Bongolala.Approval kwa vitu vinavyoonekana!
Leo hujasema ni Watanzania wanaojifanya wakunya! πππ
Kwanini hampendi ukweli!
Lakini huwezi thibitisha hata post moja ya Mtanzania anayejifanya mkunya, empty talk tu kama kawaida ya wakunya.I don't speak for the sake of speaking. Mtanzania akijifanya Mkenya nitasema, lakini siwezi Pinga Kila kitu for the sake of it. Hiyo ni tabia ya Bongolala.
Atakuambia nyinyi limeni sisi tutanunua, wakati hapo hapo bado wanalia lia kwenye bei mpaka serikali yao inawapa ruzuku, hawa ni majokers mkuu.Lakini huwezi thibitisha hata post moja ya Mtanzania anayejifanya mkunya, empty talk tu kama kawaida ya wakunya.
Lini mtafika huku?
View: https://x.com/thecitizentz/status/1886486179333243075?s=46
Watalima wapi wakati mashamba makubwa yanamilikiwa na wazungu na wanasiasa wao! πππAtakuambia nyinyi limeni sisi tutanunua, wakati hapo hapo bado wanalia lia kwenye bei mpaka serikali yao inawapa ruzuku, hawa ni majokers mkuu.