babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,450
- 36,093
Anasema “We are not the same bro.“ lakini bado serikali yao inawabeba ufala daily. 😂😂😂but mambathi renovation costing of over Kshs 10 bln? who wouldn't be mad?
Wakenya wengi ni wajinga, yn wao ni siasa kuanzia asubuhi mpaka usiku kuanzia wakubwa mpaka watoto, wazee na vikongwe wote ni siasa, hawajadili maendeleo but siasa. Kenya kila mtu anataka kuwa raisi mpaka wanusa gundi wa humu nao wana ndoto ya kuwa raisi, ndiyo mana hawana adabu.Sasa hivi haipiti siku bila vyombo vyao vya kujadili maendeleo ya Tanzania.
Nchi ni siasa za kikabila tu na maandamo yasiyo na kichwa wala mkia. 😂😂😂
Jamaa wanadandia mpaka ndege ili kukimbia hard huko kwao aiseee, can you imagine!!??Wewe kila siku huwa nasemaga huna common sense. Sasa % za watu kutokuwa na papers zinahusiana vipi na idadi ya watu wote wa KE na TZ walioko US.? 🤣🤣🤣 watanzania walio wengi hawawezi kusafiri umbali mrefu hivyo kufanya maisha illegal.
Duuhhh, Mombasa hii hii au kuna nyingine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣No serious Kenyan compares Zanzibar to Mombasa bro. Mombasa is the the 4th biggest city in the EAC with the 4th biggest GDP and with the busiest port in EAC and the second busiest port in Africa and third busiest airport in EAC. Kenyans normally compare Zanzibar to Malindi and Diani. There is no city other than Dar in Bongo that is worth Mombasa's time. Usijipe umaarufu Bure.😂
Na hiyo running track haijawahi kuisha, hata roofing imewashinda mpaka leo, hawa watu ni majokers bro 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna fala kwenye clip ya mkapa stadium alidai apendi running track,hapa kwenye kisirani kalike
Sawa ichoboi, jibambehii ndio JKiA munadanganywa humu ndani ni modern? 😂😂😂😂
yani hata nyegezi bus terminal ni ultra modern kuliko huu utumbo
View attachment 3223533
Mtajuana wenyeweWhy are Nigerians problematic world over, now they are here with the intent of tarnishing KQ while threatening to call minister of finance’ like they always do in their country. She will not believe this is not Nigeria…
View: https://x.com/tundemoshoody/status/1886197371941355938?s=46
View: https://x.com/kenyaairways/status/1886319974161305924?s=46
Unaambiwa kuna rushwa hapo sio mchezo, yn Bole kuna afadhali mana Bole ni wizi, ila hapo ni wizi plus rushwa. Uwanja hauna hata arrival area, conveyor belt zishakufa, mizigo ya abiria inabebwa na punda, Kenya bhn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hii ndio JKiA munadanganywa humu ndani ni modern? 😂😂😂😂
yani hata nyegezi bus terminal ni ultra modern kuliko huu utumbo
View attachment 3223533