umeelewa hio kiingereza lakini ama nikutafsirie...πππkusema kuwa kama hio train station ingekuwa Tz ingeua bora zaidi kuliko the best airport sio kusema eti hio ni airport..it is still a train station...hamna anayekana hilo....kiingereza kigumu lakini ndugu nakuelewaππHii sio airport we mkola ni terminal yenu ya treni ya diesel
huko nimetoka bro...nimeshawadharau...ila endelea kutuletea aistrip na airfield za Kenya na usisahau kuleta na airport pia...πππMbona umepotea tena. Tuendelee na airports
thanks for bringing Garissa airstrip bro..ππ.usisahau na airports za Kenya pia..garissa airportπππππ
View attachment 654656 View attachment 654657
View attachment 654645
leo umenifurahisha sana aisee kumbe ukitoka nje ya nairobi kuna vituko sijapata kuonaπππthanks for bringing Garissa airstrip bro...usisahau na airports za Kenya pia
wanyama nao wako airport wanasubiri ndegeπππLokichogio Airport Kenya
bora ya songea hiii garisa imeniacha hoiππmungu ibariki Bongo...most modrn airport in EA
Ukicompare upuzi na Avic msee...6 towersKawaida sana hiyo NHC Morocco Square
MUNGU wasaidie wakenya watoke kwenye janga la umaskiniπππLokichogio Airport Kenya
voi airport bro au mabanda ya nguruweππthanks for bringing Garissa airstrip bro..ππ.usisahau na airports za Kenya pia..
wapi imandikwa airport? πππhilo duka nimeona pahali pamandikwa cocacolaππ
hahahah bro hii ni kitu ganiπππ