Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
hata mimi nimenotice...ushamba tu๐๐Kwa nini wanaandika juu ya mabati?Ndio ionekane mwezini ama nini?
Hahaha NDINDA nakuomba umuonyeshe huyu wenye kuku wapo wapiBado mko kwa primitivity ya Bus stands...Sisi tuko kwa sheduled public transport.Mshinde hapo,nyie ni wale ambao wakienda Christmas vijijini mnaenda na sofaset na kuku na kurudi nayo jijini....Ati bus stand.Nyeee
Samburu Airport Kenya
It will be the only terminal in east n central aftica capable of handling Airbus A380 800 world biggest passenger plane
jua kutofautisha kati ya airport na airstrip..punguaniUsianzishe ugomvi kama unanyumba ya kioo
Ukunda Airport kenya
Tihahaha...si mko na ushamba....Get out of this primitive country and get to see things
ikwapi bus stand za kenya ๐๐๐Bado mko kwa primitivity ya Bus stands...Sisi tuko kwa sheduled public transport.Mshinde hapo,nyie ni wale ambao wakienda Christmas vijijini mnaenda na sofaset na kuku na kurudi nayo jijini....Ati bus stand.Nyeee
wapi bus stand za kenya alafu munasema muko civilised kati ya choo na stand zenu kipi kina afadhali๐๐Hiyo ni mharo tu,...Hakuna jipya hapo
hiii si choo kabisa๐๐๐Usianzishe ugomvi kama unanyumba ya kioo
Ukunda Airport kenya