Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeye ndio alipost sio mimi. Hujui chochote na umejaza picha za Nairobi kwa hio Itel yako.
Ushakasirika, mm ndiyo furaha yangu hiyo. Itel inakaa hivi?πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
🀣 🀣 Planned you say.

 
Keti chini na hio Dodoma yako ambayo imejaa unpaved roads.


View: https://www.youtube.com/watch?v=rwt4Sn_o75M
Kwene vita ya mabomu unakuja na kisu .? Haka ka mradi ka nyumba tatu hizo ndio kataweza nini sasa.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ngoja nikusaidie, kwa maendeleo yaliyopo dodoma kwasasa ili hii battle iwe fair kwako, tumia miji yote ya kenya from your second city mombasa.
 

Ukona kelele na hakuna kitu unatuonyesha.


 
Pole, matajiri hawaishi kama kunguni. 🀣 🀣 🀣 Umezoea zile nyumba Dodoma za masquatter. Nyumba ni percent, roof ni 80 percent. 🀣🀣🀣
Sijui ubaongea ujinga gani.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ karibu kila raia in this Ilazo street alone anamiliki nyumba inayofanana kama hii πŸ‘‡πŸΎhalafu cheki ukubwa wa hiyo mitaa sasa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸΎ
View: https://youtu.be/dK4KV8Dr6Jg?si=JYRSgXC7Ywo_P1Mx. Mind you haka ni kasehemu kadogo tu with in Dom.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…