Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kahama National Airport
 
Wakenya bwana
Ni kama wana ulemavu wa Akili,
Hapo Jomo Kenyatta Airport kuna flights za direct to Zanzibar International Airport, na pia Kilimanjaro international airport,
There are flights from Atatürk International Airport to Zanzibar as well as Kilimanjaro,
Sasa hapo Kenya zaidi ya JKIA hakuna international flights kokote
Halafu miji yenyewe mnajengea wananchi majengo ya viwanja ikiwa wananchi wanalala mabandani, sijui labda ni Viwanja vya kufanyia nini..
Na bado we have Songwe International Airport,(SIA) expected to open direct flights to Southern counties,
Hizo Isolo sijui na Mombasa Airport hakuna hata single international flight hutua hapo.
Akili za kikenya bwana[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 

Bado hujamalizana na adolescence wewe.....get over the pimples first
 
yaani huwa tunadiscuss mambo hapa kumbe hali ni hii...soo sad...aiport zinafanana na vibanda za mtura...ndge zinapiga somersault kila uchao
 
Chukua Nairobi na Kenya yoote kwaujumla hutaona Bus stand


Bus Stand Tanga
Bado mko kwa primitivity ya Bus stands...Sisi tuko kwa sheduled public transport.Mshinde hapo,nyie ni wale ambao wakienda Christmas vijijini mnaenda na sofaset na kuku na kurudi nayo jijini....Ati bus stand.Nyeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…