Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,139
- 107,697
Ndo maana hawaruhusu Kupiga picha.
View: https://youtu.be/QSYd9VEkAXM?si=poMH6apaJ-7jtxhP
View: https://youtu.be/5nTFg8CMiS8?si=PbUIYISLL3mHUSvzAisee nisikie tena mtu anaongelea Mombasa hapa tena dah! Wakenya kama hili ndo jiji lenu la pili aisee hapanaπ©π©, stesheni imeshaanza kuchoka viti vya kusubiria treni, viti vya ndani ya treni mmh!
Kabisa Mkuu halafu huu ndo mji wa pili baada ya NBO.Ndo maana hawaruhusu Kupiga picha.
Mombasa kuna nyumba kibao za udongo kama tu Nairobi maeneo ya kibera
Kuna sheria inasema zinafaa zifike 1000 au unajifanya mjinga kama kawaida?Vigari hata 1000 havijafika! Ficha aibu!
Pamepauka sanaIla nchi ya kenya ina Mazingira mabaya aisee...
Hapa ni meru kenya...bora hata ya Burundi aisee
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/MeruDigitalnews/videos/1122938786140152/
Dereva yupo highly intoxicated na miraa!Ila nchi ya kenya ina Mazingira mabaya aisee...
Hapa ni meru kenya...bora hata ya Burundi aisee
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/MeruDigitalnews/videos/1122938786140152/
Shida ni hilo dongo jekundu, ni bora wangekuwa wanaweka paving, sema ndiyo hivyo uchumi hafifu.Ila nchi ya kenya ina Mazingira mabaya aisee...
Hapa ni meru kenya...bora hata ya Burundi aisee
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/MeruDigitalnews/videos/1122938786140152/
Heri hapo kuliko hapa.ππIla nchi ya kenya ina Mazingira mabaya aisee...
Hapa ni meru kenya...bora hata ya Burundi aisee
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/MeruDigitalnews/videos/1122938786140152/
Sasa mzee huku si ni latiakati ya misitu.? ππ
Najua kenya like the back of my hand. Halafu nisijue Namanga mimi unachekesha sana.I can bet with my life hata Namanga hujawai fika.
Wanafosi tufanane πKwamba Nairobi ipo UK kwamba lazima upambane na visa auu unamaanisha nn labda? Au alichosema kwamba Nairobi ni ndogo kaongopa auuu?
Narudia, I can bet in my life wewe hujawai fika hata Namanga.Najua kenya like the back of my hand. Halafu nisijue Namanga mimi unachekesha sana.