Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just because Tanzania inatumia electric train for the first time doesn't mean the technology is new. Jifunze kuelewa mambo rahisi
 
Just because Tanzania inatumia electric train for the first time doesn't mean the technology is new. Jifunze kuelewa mambo rahisi
Itakapofika 2070 mkibahatika kuwa na electric train bado kwenu itakuwa new technology na mtalazimika kuja kuchukua ujuzi huku mtake msitake.
 
Nataka unieleze mbona train yenu inakwama kwama hadi abiria wanawekwa kwa mabasi.
Viwanja vyote vya maana mmejenga ndan ya Nairobi😂😂 tukifika 2027 mtahost Afcon ndani ya Naipori tu, while Tz ita host within Dar, Zanzibar, Arusha na Dodoma.

Bado nafaa kukueleza ni nchi ipi kati ya TZ na KE ni ya city moja .? 😂
 
Ebu tuone hivyo viwanja vya Arusha na Dodoma tuone.
 
Viwanja vyote vya maana mmejenga ndan ya Nairobi😂😂 tukifika 2027 mtahost Afcon ndani ya Naipori tu, while Tz ita host within Dar, Zanzibar, Arusha na Dodoma.

Bado nafaa kukueleza ni nchi ipi kati ya TZ na KE ni ya city moja .? 😂
Mm nakuambia afcon ya 2027 ndiyo itasema kati ya Tanzania, Uganda au Rwanda ipi itakuwa nchi iliyoendelea zaidi, hawa wanuka mavi watoe mana hawatoandaa afcon.
 
Alafu walivyo vichaa viwanja vyote wanaviweka Nairobi ili kuendelea kuongopea watu na view za uongo na kweli a.k.a view jua kali, sisi tunajenga uwanja Arusha ndani ndani huko ili kuzidi kuendeleza maeneo mengine, unapojenga facility kama hii sehemu ambayo ni porini watu lazima watavutika kuja kujenga hapo na kupata huduma mbalimbali na hatimaye mji unakuwa, sasa hawa wenzetu plan zao siku zote ni za mwaka mmoja, akili zao zipo kwenye decorations tu. Wana elimu mbovu sn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…