kumbe tunajenga na umekiri kua tunajenga so ulikua unasema wamekimbia site 😂😂😂Talanta Stadium.
Wakati wachawi wanajenga their mini stadium msituni, Talanta is being built close to a good neighborhood with a good view.
View attachment 3193982
so hzo ndege ni zenu au sio 😂😂😂😂Sasa si useme bila kulia.
Naona mchawi unachekelea mtoto wa jirani kuumwa. Hii haifanyi mwanao kuwa bora.🤣 🤣 🤣 Hii "electronic sgr train" ilifungua mwaka na kukwama kama kawaida.
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1874527191985479842
hapana mao tsetung ni mwengine uko znz huo gombani ni pembaHuu ndiyo unaitwa Mao Tsetung?
Kwa akili hizi leo nmeamini wakenya wote vichaa.Sasa si useme bila kulia.
wakat CHAN imewatoa mavi mpaka leo hamujui uwanja gani utatumika😂😂😂And that’s why both opening and Final games of AFCON will be held in Nairobi due to close proximity of the three stadiums. Actually most matches will be played in Kenya to prevent players’ jet lag.
alaf yuko very confortable hana hata wasiwasi😂😂😂😂Kwa akili leo nmeamini wakenya wote vichaa.
Mbwa fwatilia mada, wacha kuropokwa.so hzo ndege ni zenu au sio 😂😂😂😂
ushawah kupimwa mkojo wewe??
na unajiamini kupost kabisa yani umeona watu wote humu hatuna akili yani mpaka leo hii 2025 munataka kudanganya watu aisee vituko havitaisha
Wewe watchman ndio una kichaa.Kwa akili hizi leo nmeamini wakenya wote vichaa.
Train yetu haikwami ovyo ovyo kama hio yenu, leaving passengers stranded. Pambaneni na hali yenu.Naona mchawi unachekelea mtoto wa jirani kuumwa. Hii haifanyi mwanao kuwa bora.
Hadi leo vipi bado imekwama?
Lile korokoro lenu huwa mnapanda tupieni japo vipicha.
I don’t discuss na wenye wanajenga mifano ya stadiums.kumbe tunajenga na umekiri kua tunajenga so ulikua unasema wamekimbia site 😂😂😂
Hilo korokoro lenu huwa mnapanda? Au mliopo humu njaa kali?Train yetu haikwami ovyo ovyo kama hio yenu, leaving passengers stranded. Pambaneni na hali yenu.
CHAN ya Yemen ama?wakat CHAN imewatoa mavi mpaka leo hamujui uwanja gani utatumika😂😂😂
Ushawahi kutoka Kibera?Wabongo tunapenda blah blah ila kiukweli Nairobi ni ya kulinganishwa na Johannesburg, Cairo, Rabbat.
Tuna kazi kubwa sana kama taifa ili tuweze kuifikia Nairobi.
Kwa Kemya Battle sahihi ni Dar Vs Mombasa.
It's way more efficient than your kifafa train amabayo inakwama kwama after a few weeks.Hilo korokoro lenu huwa mnapanda? Au mliopo humu njaa kali?
Unajenga Sgr ya matrilion kwenye Nchi ambayo 80% ya Barabara ni vumbi .Alafu bado utapata mtanzania anabishana na Mkenya kwa mambo ya barabara😂😂
View: https://x.com/TBoundBuses/status/1875757222128710121