muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,854
Hizi treni zinajaa hatari, leo nilikua natafuta ticket ya kesho Dom, hakuna kitu aisee, Dah!SGR inaondoka. Kundudwellers wanatupigia kelele. Hii ni sasa hivi nipo kwenye bullet train ya Tanzania
View attachment 3185657
Kwahivyo treni ya Kenya haitumii umeme?
Wanajiongopea sisi tunawafuatilia, hawajui over 70% ya wabongo hawajui chochote kuhusu Kenya, I'm 100% sure ukiuliza more than 70% ya watz hawajui hata mji mkuu wa Kenya.Kimsingi ni very rare kupatana na taarifa za Kenya huku bongo.
Hapa tunazalisha culture ya ku plan safari. Ndani ya mwaka mmoja, miwili culture ya Watanzania itabadilika sana katika kusafiri.Hizi treni zinajaa hatari, leo nilikua natafuta ticket ya kesho Dom, hakuna kitu aisee, Dah!
Umeme wenu unakatika kila Mara. That’s not a new thing to us here, hata wewe unajua nasema ukweli lakini utapinga tu kama kawaida yako.Tanzania sio Kenya. Kama unakatika kila mara, iwaje muombe kununua umeme wetu?
CAF ndio kondoo wa wapi? Tanzania only have a single CAF approved Stadium and it’s Makwapa.Unajiongopea budaa, 😂😂😂 unajua fika unajidanganya. Huo uwanja ni CAF aproved standard, niambie uwanja mmoja kenya nzima wenye uko na standard za CAF.
Kenya comments is approaching to zeroBongolalas tulikuja kwenu for a motorsport event na tukawadinya kama kawaida.
Which sport is bongoslum good at? CC: Teargas
View: https://www.youtube.com/watch?v=z-E_lZ96Sys
View: https://www.youtube.com/watch?v=1047_O8KKQg
Hii kitu ikifika hata tabora tu national stesheni tulizojenga ni ndogo sana. Abiria ni wengi sanaaaHapa tunazalisha culture ya ku plan safari. Ndani ya mwaka mmoja, miwili culture ya Watanzania itabadilika sana katika kusafiri.
Bongoslum hata hizo footbridge hamna kwa wingi. 🤣 🤣 🤣
Daris slum has less than 5 footbridges with Mwanza having one and Arusha none.
They have less than 10 in entire country😂Bongoslum hata hizo footbridge hamna kwa wingi. 🤣 🤣 🤣
Ok. Endelea tu kujidanganya😎Daris slum has less than 5 footbridges with Mwanza having one and Arusha none.
Bro, electricity is not just about generation, in fact transmission is more important than generation because a deficit in generation can be easily offset by purchasing from outside. Transmission however is a different thing. Your transmission infrastructure in poor - mwaning even if you generate more than Kenya, you'll still have more electricity issues than Kenya.Tanzania sio Kenya. Kama unakatika kila mara, iwaje muombe kununua umeme wetu?
Meanwhile Thika road alone has about 16 with 4 more under construction. 😂 😂They have less than 10 in entire country😂
From Ngara to Githurai alone I can count more than 10 footbridges 😂😂😂Meanwhile Thika road alone has about 16 with 4 more under construction. 😂 😂
Hiyo 'poor - mwaning' ndio nini?... Your transmission infrastructure in poor - mwaning...
Ebu tuonyeshe picha za footbridges in Arusha tuone.Ok. Endelea tu kujidanganya😎