Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kasongo yeye eeh mobali na ngai...

View: https://m.youtube.com/watch?v=AdfDOyG8lo4
 

Wewe kenge,

Picha ya kwanza juu hapo bongo ni kwa mpiga chapa mkuu wa serikali au mitaa ya mkuki house. Hapo mchina anaendelea na ujenzi wa BRT na Mturuki anapitisha tunnel ya SGR cargo. Ujenzi una endelea hapo

Same kwa picha ya Pili iko na daraja la SGR kwa juu hapo ni Kamata area... Ujenzi wa ku link BRT kutoka njia ya Airport kuja Gerezani Kkoo unaendelea... Sasa kupiga picha construction site na kusema ndio uhalisia hapo unazingua.

Zamani tuli amini walimu sio waongo ila kwako mmmh... Ndio maana tunaendelea kutimua tu walimu kutoka kunyaland. Wana uzuzu mwingi sana kichwani.
 
The problem

Sasa mbona unapost Barabara zinazojengwa... Ni Barabara gan hii inapita chini ya SGR Viaduct? Are you sure that is an official road?

Yaana umehangaika we...ukaenda ukapiga picha roads ambazo sio Rasmi. Tangu lini Chini ya SGR kukawa na official road....those cars labda walikuwa wanakwepa construction sites za Uhuru Road inayojengwa BRT na Nyerere road.

Meanwhile Nairobi roads. Hapa hakuna BRT construction and ni official roads


Your browser is not able to display this video.
 
Hawa kunguni tukiwaambia ukweli wanakimbilia kutukana kenya is developed on papers
 
Kumbe matokeo mnayo mmekaa kimya tuu hamtuambii 🤣🤣🤣
Wapumbavu sana wapo huko kusingizia eti timu zimeweka ove 17 dhidi yao wakati MRI ilitumika na wao ndio walionekana wamezidi.

Mijitu njaa inawasumbua wengine lishe inawafanya waonekane na afya.

https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/p/1DBX2YPeyD/?mibextid=oFDknk
Ovyo kabisa.

Kila kukicha


 
Great move, ilikuaga inanipa ukakasi hii. Now atleast tutapunguza cash nyingi kuipa shilling chance ya kukua sababu itakua inapatikana vizuri na gharama za kuprint zipungue.
Ila wazuie na makampuni hasa ya production kulazimisha kulipwa kwenye akaunti zao za dollar kwa wale wanaofanya exportation.
Yaan tuzuie kabisa akaunti za dollar kama wenzetu China. Akaunti za usd ziwe kwa ajili ya malipo manunuzi tu tena iwe lazima kununua kupitia benk
 
Hii ni barabara ya kwenda wapi mzee .? 😂😂😂 👇🏾kisa umeona daladala zinakatiza ukadhani ni barabara official.? 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…