Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Mbona umepima hadi maeneo ya ndani ya bahari.? ππππ ndio ili upete hiyo 600 sq meters.? Wewe ni mpumbavu kweli wew.? Why are you forcing things.?Nionyeshe barabara ya lami kwa hili eneo nililohighlight.
View attachment 3182585
Kweli wewe ni zuzu wewe.. πππ unavyopima kariakoo kuna maeneo ya shule (na ni maeneo makubwa tu) hayapimi, ni kwanini, ikiwa shule inaeza kuwa inclusive na CBD. kimsingi kuna eneo kubwa tu hapo kamata hukuligusa ambapo ndio parking yw magari yanayoingia kariakoo, shule mfano Benjamini william mkapa Sec. Tena wewe kwenye ramani yako ume skip hadi stendi ya mwendokasi kariakoo gerezani, ππBecause the University is inclusive of the CBD and well integrated with other businesses and also has business buildings within it.. Meanwhile, the State house is a protected compound without any businesses and does not have a high concentration of commercial buildings. It clearly does not fit the definition of a CBD. Learn.
Nyang'au waliopo Nairobi inabidi waende Mombasa kushuhudia bahariπ
Meza ya Kenya Airways ndio inafanya hii hall isionekane empty ππView attachment 3182561
Nakuja Nairobi
We nawe kila mkishikwa foleni unakimbilia magari mengi, kama hukuflash ubongo utakumbuka tuliwahi argue expressway ukaleta maneno ya magari mengi while hamlipi tozo.Kwa hivo Nairobi - Nakuru highway kuna tolled expressway? Wengine wenu muache kujiaibisha. π π
Unataka uone zinazofanana na hizi takataka .? πππ we all know unatamani view ya Dar city lakini wapi.
Naona Ngalawa wa wazungu.
Haya maneno mmekua mnayaongea sana kuanzia Mombasa Gated Bridge kipindi ndio Kigamboni bridge imefunguliwa, ila now kiko wapi kuna Tanzanite, Kigogo Busisi. La mombasa sijui.Bado haijamaliki na imagine ikikamilika bado ikija Kenya haitokuwa number 1.
Kumbuka before imalizike
1. Nairobi - Nakuru - Mau Summit ujenzi utakuwa umeanza. Hiyo ni 220km.
2. Mombasa - Nairobi ujenzi utakuwa umeanza. Hiyo ni 500km.
Total 720km continous dual carriageway.
Kwa hili hamtupati hata wewe unajua.
Alafu wewe huko kwenu nje ya Thika mna barabara ngapi za 6 ways Lanes?Tupimie utuonyeshe length ya hivyo vibarabara ni km ngapi alafu uje uone ulivyo mjinga. No wonder Teargas hukuita baboon.
Kilwa road nishakuwekea na nikaongeza Bandari street na Kivukoni road na bado haijafika hata 15km. Hizo zingine ndio shida zaidi.
Halafu hiyo Morogoro road ndio Kibaha road. Hata kwenu hujui lazima nikufunze.
Ndio inatakiwa Serikali kukomaa mpaka ipate, kama ipo Uganda waende, hatuwezi kuwa na mgodi wa kijua kali kwenye rasmali kubwa.Serikali punguzeni masharti la sivyo wekeni pesa wenyewe kama joint venture na wawekezaji vinginevyo zinaendelea kuwa stori Hadi Yesu anarudi.
Chum Haipatikani Tanzania pekee,Uganda hapo Wana chuma n Wana investors si mkajifunze wao wanafanyaje? ππ
View: https://www.instagram.com/p/DD4N30_OOet/?igsh=aGw5OWw2Z2Q5OGpv
Skyscrapers ni za kuhesabika.
US$ Billionaire hamna!Si huwa mnasema Kenya hakuna matajiri? mtu apewe 1M USD kwa harusi tu na bado mnasema Kenya hakuna matajiri?
Wacha nikutajieAlafu wewe huko kwenu nje ya Thika mna barabara ngapi za 6 ways Lanes?
Hapo kwenu Mali Iko kwa wachache.US$ Billionaire hamna!
We ulitakaje.? Posta is full, no Disctrict in your city can challenge Posta. No ocean around your CBD, no BRT buses, no SGR, no ferries. πππ posta is full of those infrastructure. Full of activities. No disctrict in kunya land that can challenge Posta.Skyscrapers ni za kuhesabika.
Vumbistan walio Mwanza inabidi waenda Dar kushuhudia bahari.πNyang'au waliopo Nairobi inabidi waende Mombasa kushuhudia bahariπ