Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wew pumbavu zee unaijua Dar.?

Haya rudi kapime hizi

Morogoro road
Kilwa road
Nyerere road
Bagamoyo road
Kigamboni to mwenge (continous dual cariage way)

Ukitoka nje ya Dar ni dom outer ring road 115km
 
Wew pumbavu zee unaijua Dar.?

Haya rudi kapime hizi

Morogoro road
Kilwa road
Nyerere road
Bagamoyo road
Kigamboni to mwenge (continous dual cariage way)

Ukitoka nje ya Dar ni dom outer ring road 115km
Tupimie utuonyeshe length ya hivyo vibarabara ni km ngapi alafu uje uone ulivyo mjinga. No wonder Teargas hukuita baboon.
Kilwa road nishakuwekea na nikaongeza Bandari street na Kivukoni road na bado haijafika hata 15km. Hizo zingine ndio shida zaidi.
Halafu hiyo Morogoro road ndio Kibaha road. Hata kwenu hujui lazima nikufunze.
 
Sijui ubaongea vitu gani we mbwa. Wewe ni zuzu tu.
 
Hawa nyang'au wanachekesha sana jinsi wanavyojaribu kulazimisha kuwa Dar es salaam ni ndogo kuliko Nairobi wakati Dar ni 1590 square km na Nairobi ni 696 square km๐Ÿ˜
Huyo NairobiWalker nilimwambie atembelee Dar...mimi najitolea kumhost... tena aje na yule Rafiki yake..

Maana anajiabisha bure hapa kurely kwenye google maps kucompare Dar and Nairobi.
Ni yeye anasema Kigamboni haina lami!!!

Nina uhakika atafunga ilo Domo lake.
 
Bradhee sasa kuongea ukweli ni kujiaibisha? Mimi sikusema hakuna lami Kigamboni, nilisema hili eneo ambalo nilihighlight na ambalo ni 628 sq. km lipo ndani ya Dar halina lami na nikawaomba kama mnabisha mnionyehse hiyo barabara ya lami iliyoko kwenye hili eneo mkashindwa. Shinda yenu mkiambiwa ukweli mnacatch. ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Wacha nirudie - Hili eneo nililohighlight halina barabara ya lami hata moja. Kama unabisha prove me wrong.

 
As usual, you got into a discussion that's beyond your paygrade.๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
We tako rudi hapa, nilikua busy kidogo nikuache utambe mpaka umepitiliza. Matacone wewe. As much as I know Dar es Salaam these are dual cariage ways you can be found in the city. ๐Ÿ‘‡ Kigamboni-Mwenge.. 21kmBagamoyo road ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ22km dual (hii inaendelea kutanuliwa hadi Bunju) sahii ibaishia hapo inavyoonekanaPugu road/Nyerere road ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ17km dual kilwa road ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ15km dual
 

Attachments

  • IMG_3367.png
    2 MB · Views: 22
  • IMG_3368.png
    2 MB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ