The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Alivyofala anashangilia wao kushika namba moja kutazama nyimbo za watanzania hajui kama tumewageuza soko, ni kama mziki wa Congo enzi zile hapa bongo, tulikuwa tunaufuatilia kuliko wacongo wenyewe, kibao kimegeukia kwa wakunya vs bongofleva.Diamond (TZ)-tanasha (kunyaland),nani alimkojolea mwenzie hapa?
Ni ushamba au ni nini mko nao? Sasa kama mna nguvu si msupport wakenya wenzenu wafike mbali...au nyingi mna roho mbaya kwa wakenya wenzenu?Kenyans are the backbone of Tanzanian artists, that’s why tunawakojolea na wamenyamaza. There is nothing they can do without Kenyans.
View attachment 3179948
Hiv nani aliwashauri waweke ile Insurance? Naamini mwakani mambo yatakuwa mabovu zaidi....ni turn off kwa watalii wengi.Zanzibar’s tourist arrivals drop by 4pc in November
According to tourism statistics released by the Office of the Chief Government Statistician in collaboration with the Zanzibar Commission for Tourism, the island recorded 67,049 international...www.thecitizen.co.tz
Akili hana yule,pesa wanayoingiza wasanii wa TZ kule kundudweller ni nyingi kuliko gawio wanalolipata equity na kcb bank hapa TZAlivyofala anashangilia wao kushika namba moja kutazama nyimbo za watanzania hajui kama tumewageuza soko, ni kama mziki wa Congo enzi zile hapa bongo, tulikuwa tunaufuatilia kuliko wacongo wenyewe, kibao kimegeukia kwa wakunya vs bongofleva.
Unajua wasafiri hukata bima ya safari huko watokapo!Hiv nani aliwashauri waweke ile Insurance? Naamini mwakani mambo yatakuwa mabovu zaidi....ni turn off kwa watalii wengi.
Waimprove kwanza health infrastracture zao ndo waweke hizo Insurance... otherwise watu watu wataenda maldives, diani, nk
Hata mimi naona ziko tatu. Because you don’t have electric buses in your vumbistan haimanishi wengine pia hawana.Electric buses 3 kunyaland nzima,we jamaa kweli kilaza!
Kenya made Diamind who he is today.Diamond (TZ)-tanasha (kunyaland),nani alimkojolea mwenzie hapa?
Do you have electric buses in Tanzania?We nawe nini? Kwa hiyo umekweps bridge unataka kuleta ka bus, umeelewa why nimeitaja? Unadhani me naflash ubongo kama nyie?
Nimeshangaa electric bus ndio unajidai seriously? Tena za kuvizia.
Now tuoneshe cable stayed bridge uliyosema mnayo.
Roho mbaya gani na evidence is there to be seen? Nairobi alone has more youtube Viwers than Entire Tanzania. Actually Nairobi Youtube viewers are twice than of Vumbistan as a whole.Ni ushamba au ni nini mko nao? Sasa kama mna nguvu si msupport wakenya wenzenu wafike mbali...au nyingi mna roho mbaya kwa wakenya wenzenu?
No we don't. We have the same bus tena zinaonekana kila siku, Electric tulipeleka kwa Electric train you can never achieve tena ni nyingi kuliko all your buses uchwara mlivyonavyo. And they are valuable than mradi wowote mlionao.Do you have electric buses in Tanzania?
Nyie mna bus stage hapo kundustan?Do you have electric buses in Tanzania?
Alafu kijana we have thisDo you have electric buses in Tanzania?
Tunazo mingi sana. Nyinyi hamna electric buses.Nyie mna bus stage hapo kundustan?
Our electric buses we build them here in Kenya, what about those refurbished ever stalling electric second hand trains? Did you build them in Vumbistan?No we don't. We have the same bus tena zinaonekana kila siku, Electric tulipeleka kwa Electric train you can never achieve tena ni nyingi kuliko all your buses uchwara mlivyonavyo. And they are valuable than mradi wowote mlionao.
Now back on table where is cable stayed bridge in Kenya?
Wafate huu ushauri hahahaHapa watafanya kazi chini ya kiwango. 😂😂😂
View: https://x.com/ericnjiiru/status/1869626900634820658?s=46