Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza hiyo title ya msafi nani kampa? Anabreach wasafi copyright rights, hakuna international body wasafi wanaweza msue huyu punda?
Haha anacopy kila kitu acopy na hii

View: https://vm.tiktok.com/ZMk87Cq4t/
Mwenzake baada ya pale furaha akashuka kwa madiba kupiga show nyingine, wakati willy powowo akiwa anauguza majeraha ya onesmo
Kwele zake onesmo
 
Unajustify upuzi, ju mumeundiwa website ya kipuzi, website plain and ugly.
Ukweli mchunngu. Kenya bado mnaishi kwenye dunia ambayo web designer wanatumia CSS chukuchuku. 🤣 🤣 🤣 🤣 Ugly kenyan website with Image Background.

Ukitaka ujue mpo nje ya dunia Check big websites kama google.com, Chatgbt.com they do not have Image background.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…