The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,970
Sasa ju nilizima ur argument umeanza matusi β¦πKwnn unalazimisha kuishi nchi za watu? C urudi kwenu ulipozaliwa mbwa wewe π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Huyo watchman hata hana Passportπππ.Sasa ju nilizima ur argument umeanza matusi β¦π
Si ni wewe ulipost kitambo ule Jamaa Mtanzania mwenye trucking company hapa US β¦ so according to you yeye ni mbwa pia..π€£π€£π€£π€£β¦ we know you envy America πΊπΈ soo much ndio hata umetupia picha ya Obama β¦ I promise to hook you up with a watchman job if you come.. the start pay ni $25 an hour before you get a conceal and carry permit ( gun) which jumps to $35 or more an hour ) though varies from state to state β¦.imagine working 8 hours a day 6 days a week..Would you decline such an offer mtu wa Tandale ?β¦ π€£π€£π€£π€£
Hii ni soko wewe Kware!
Hapo bado hatujafika hata robo ya viwanda vinavyojengwa kibaha Nina Imani baada ya mwaka au miwili umeme hautatosheleza kabisaOngezeko la Matumizi ya umeme Kwa zaidi ya megawatt 400 ndani ya mwaka mmja ni kiashiria Cha ukuaji mkubwa wa Uchumi hususani manufacturing sector.
Kundustan mpo? ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DDPmuH8s6DV/?igsh=MXA4NHc5dnF1bTN0eA==
Sio tuu Kibaha Bali Nchi nzima ila kitovu ni Pwani na Dar.Hapo bado hatujafika hata robo ya viwanda vinavyojengwa kibaha Nina Imani baada ya mwaka au miwili umeme hautatosheleza kabisa
Kwa style hiyo umeme hautoshi hata kidogo, we fikiria kwa mwaka mmoja tu mahitaji yamejump kwa 400 Sasa vikiisha vyote si itakuwa Balaa, kwa ujumla viwanda vinavyojengwa ni Vingi sana.Sio tuu Kibaha Bali Nchi nzima ila kitovu ni Pwani na Dar.
Huku niliko Kuna viwanda 2 vikubwa vinaendelea na Ujenzi,mwakani vinaanza uzalishaji
Not you . The Chinese, aye ?Wakati wengine wanajenga mfano wa Stadium kwa msitu, sisi tumeamua hakuna kugeuza Mashabiki wanyama pori.
Talanta Stadium.
View: https://youtube.com/shorts/3f-EHlmBEg4?si=V06gLXRyGnhF_cmj
Na hapo Bado mamigodi rundo hayana umemeKwa style hiyo umeme hautoshi hata kidogo, we fikiria kwa mwaka mmoja tu mahitaji yamejump kwa 400 Sasa vikiisha vyote si itakuwa Balaa, kwa ujumla viwanda vinavyojengwa ni Vingi sana.
Ukienda kule goodwill mkuranga ni kama kavurugwa , kiwanda kina upana wa karibia 1km moja
Pole for disappointing you, this stadium is fully funded by GOK na kama hupendi unaezajinyonga.Not you . The Chinese, aye ?