Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wamebaki kutenga uongo tu. 😂😂😂
 
Wazee wa Nairobi Ultra modern Green park Terminal will be one of KIND IN AFRICA kipind Magufuli Bus Terminal ipo launched mpooo Teargas.


Baada ya kuwekewa KALED light mnajikuta mmemaliza kuifanya MODERN even kituo cha Daladala Tabata ni afadhali


SGR Ikaja ghafla imekua Outdated baada ya Tz kuonesha maana ya SGR. Siku hizi hawana hamu ya kuiweka imagine mtu anatetea Extended Canopy?

TALANTA LOADING..........

Kila mradi wa ukunya Mbongo akiujenga kinachofata ni hasira kuwa wamepigwa kwenye mradi wao.
 
Hahahahah🤣
 
Mafalamanga Ndio wali wao! Tunaenda kuwaonyesha modern stadium inakaaje pia!
 

Kunatofauti sana ya Tanzania na Kenya linapokuja swala la Ubora kwenye Ujenzi, Tanzania tuko very serious
 
It seems you are acting God how on earth could you tell Ruto"s mind from his words?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…