Unataka tucheke kwa uwanja unakarabatiwa? I thought you were smart kumbe wewe ni mtungi kama hawa wachawi wenzako😂😂Hii ni ya Ngapi? still mnachezea nje?
🤣 🤣 🤣 🤣 Walikuwa hawana namna maana Tanzania Central railway was almost dead.Yet DRC cargo that pass through Kenya is almost the same as the one passing through Kenya yet we don’t share border with DRC😂😂.
Alafu are you aware that most the minerals in Eastern DRC ziko huko side ya Uganda?😂😂
Electrification feature iko wapi?I’m really happy for Uganda. They have adopted all the features of Kenyan SGR.
View: https://x.com/RailwaysUganda/status/1859527646159212998
Unakarabitiwa kila kukicha ila hola hata Hiyo kasarani kama si CAF kuwa makini mngeotesha nyasi sizizotakiwa alafu mje kulia liaUnataka tucheke kwa uwanja unakarabatiwa? I thought you were smart kumbe wewe ni mtungi kama hawa wachawi wenzako😂😂
Utajulia wapi sasa wewe mshamba wa Kibera? Wewe endelea kucheza bahati nasibu tu. Mambo makubwa waachie wakubwa.So SGR ya Tanzania ndio inaenda kuwachimbia?😂😂😂
Alafu ukiona bado madini haijaanza kuchimbwa ni kumaanisha it’s not viable😂😂
Electrification is only 0.01% of railway construction, don’t make it a big deal.Electrification feature iko wapi?
Wakubwa wa Mashoga?😂😂😂Utajulia wapi sasa wewe mshamba wa Kibera? Wewe endelea kucheza bahati nasibu tu. Mambo makubwa waachie wakubwa.
Lakini waganda wangechagua route ya Hawa jamaa huku hakungekalika.😂Wakati Tanzania inapekeka reli yao Burundi with a potential of less than 500k tonnes in a year, Kenya inapeleka reli yao Uganda with a potential of 8M tonnes in a year😂😂👇👇
View attachment 3157759
Kasarani will be the third most beautiful stadium in East Africa After Talanta and Amaholo in Rwanda.Unakarabitiwa kila kukicha ila hola hata Hiyo kasarani kama si CAF kuwa makini mngeotesha nyasi sizizotakiwa alafu mje kulia lia
Prove to me using evidence from your ministry of roads that Tanzania has tarmack roads that inaezafika hata 15,000km. Nimekaa pale Nangoja bwana Baboonman. Unaongea hapa na hata passport ndio huna😂😂
Nakuambia😂😂😂.Lakini waganda wangechagua route ya Hawa jamaa huku hakungekalika.😂
Mbona sioni the number of paved roads? Ama kwa akili yako unadhani all trunk roads are paved?😂😂
Tupatie barabara yoyote kutoka kenya Paved yenye urefu kama huuMbona sioni the number of paved roads? Ama kwa akili yako unadhani all trunk roads are paved?😂😂
Ndio mkishindwa hoja mnataka kuweka wengine eeh.
Kenya 23,000km of Paved roads while Tanzania only have 10,000km, tafakari hayo.
Hajasema unayo, amesema huna. Yani Kusoma pia ni shida kwako?😂😂😂Unaamini kabisa nina spatial knowledge kwenye technology?
Japo Kigoma kwetu kuna mikoa Tanzania bila serikali ku-step in isingekaa ipate vyuo! Kigoma, Kagera na Mbeya na ina rasilimali zote! Nadhani tuji-organize!ichoboy01 20b usd at work.
Kigoma Muhimbili Campus 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DCoPTGTNWef/?igsh=bWgwbGpmMHR4bGZ6
Mzee Google maps ipo tupatie Barabara yenye urefu huo kijana. 🤣 🤣 🤣 🤣 Hiyo ni barabara moja tu ipo na urefu wa 1,386Km.Kenya 23,000km of Paved roads while Tanzania only have 10,000km, tafakari hayo.