Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnakopa IMF mnunuliwe unga na serikali, Kunyaland ni taifa la mafala kweli, wengine wanakopa watengeneze productive projects ninyi mnapanua matumbo

View attachment 3154320
Utabaki kuwa mjinga. Maize subsidy ilikuwa mwaka wa 2022 kama bado Uhuru is in Power and by that time 2kg of maize was retailing at 230, Uhuru had to put subsidy to reduce the price to 145, hakuna maize subsidy saa hii.

Because hutaki kuonyesha mwaka wa report, let me do it for you.👇👇

 
Yani watanzania wanaumia just because cost of basic items are cheaper in Kenya than Tanzania hadi mtu anatuletea habari za subsidies zilifanywa 2022😂😂🤣
 
Garissa Nairobi Road is only 340Km and was constructed in 2011, Najua hamjazoea barabara smooth hivo cause almost all Tanzanian roads are either muddy, dusty or full of potholes.
Ushai fika bongo .? Au unarusha maneo tu.?
 
1kg sugar dar ni 2800 to 3000 sijaona sehemu sugar inauzwa 2500 dar, kwa tanga ni 3000 per kg, mwanza,kigoma, musoma na bukoba inafika 3200 to 3500
Na mnasema Kenya vitu ni expensive, below is a receipt of the shopping nilifanya jana usiku kwa supermarket.

Look at the price of Sugar and see how it's cheaper in Kenya.
 
Hii kwa akili yako finyu ni 2022?

 
Sometimes tuwe na uelewa kidogo. Napitia Twitter sakata la Kariakoo naona kuna watu wamekomaa kunaga JWTZ, POLICE TANZANIA.

Like Seriously JWTZ na uokoaji wapi na wapi? Wao wanaitwa tu ikiwa ZIMAMOTO na POLICE wamezidiwa.

Engagement za Twitter sometimes zinawatoa watu credibility siku wakiwa wanaongelea issue muhimu kisa upuuzi kama huo.

Yes Rais ameenda BRAZIL It was planned visit hatukujua Jengo litaanguka, sasa afanyeje while ameconfirm anahudhuria.

Waziri Mkuu hatoshi? Viongozi waliopo hawatoshi?

Me naona Tatizo lipo kubwa sana Hili JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOJI UPUUZI SANA wako FIRE wanafikaje saa 5 like seriously?

Ule moto wa Kariakoo na Karume utadhani wanatokea Bunju.

Walifumue upya Zimamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…