Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm hili suala la umeme linanishangaza sn aisee, magufuli alisema bei itashuka kabisa lkn hakuna cha kushuka mpaka leo, Africa ni mavi sn.
 
Umewahi sikia saruji imedoda au ujenzi umepungua kisa Dar bei ni 20k? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Saruji xinaisha na viwanda vipya vinajengwa tafsiri yake ni kwamba uwezo wa purchasing power umeongezeka.

Punguza kuwa mbumbumbu wa kufanya analysis wakati hujui kitu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Kwa mama mambo ni shere ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
hio ndio fact utake usitake, upende usipende fact itabakia kua uchumi ni watu no matter what ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

saruji zinaisha zinanunuliwa na kina nani zaidi ya wale wanaokula kwa urefu wa kamba, purchasing power ipi wakat gap between rich and poor inazidi kupanuka

tuseme abduli angefukiwa na kifusi pale je tungeenda brazil au ndio ng'ombe wa maskini hazai
 
Mm hili suala la umeme linanishangaza sn aisee, magufuli alisema bei itashuka kabisa lkn hakuna cha kushuka mpaka leo, Africa ni mavi sn.
na ndio watanzania walitegemea hvo bei ya umeme ishuke ili viwandani bei za bidhaa zishuke ndio uchumi unaongelewa hapa, kwa sasa umeme tunaotumia ni over 75% ni hydro lakini ajabu bei iko palepale
 
Wewe ulitakaje? Kwa nini hukuenda kuokoa unaongea ujinga hapa?
kazi ya jeshi la uokoaji ni nini na wanalipwa pesa za nini?? jeshi la polisi wanalipwa pesa za nini??? zile ambulance zilizonunuliwa kwa fujo ziko wapi au watu washachomoa spare ziko juu ya mawe sasa hvi?? kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake??
 
kazi ya jeshi la uokoaji ni nini na wanalipwa pesa za nini?? jeshi la polisi wanalipwa pesa za nini??? zile ambulance zilizonunuliwa kwa fujo ziko wapi au watu washachomoa spare ziko juu ya mawe sasa hvi?? kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake??
Ndio wako wanafanya kazi Yao wewe unaongea upuuzi watu wako kazini ungekuwa jirani ungeshikishwa adabu kwanza๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DCd2l_oNvgw/?igsh=aXYzcnRmdGw5Zzdk
View: https://www.instagram.com/p/DCdpkCgiroe/?igsh=MXdnYjV4M3Q1ZWdqOA==
 
Kuna facts tofauti na kwamba saruji xinaisha madukani na viwanda vipya vinajengwa?
 
Alibadilishs mjadala nilipomueleza akaelewa alikuwa hajui kitu. Sasa ameanza kuponda Kenya hatuna purchasing power using my definition. Hawezi kubali tu akikosea.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Watanzania wote I think hawajui what purchasing power of a person is๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
1kg sugar in Tz ni TSh. 2500 achana na takwimu za mama Ngina
Then why do you keep on saying that bei ya bidhaa Kenya is twice as expensive as in Tanzania, how come naona bei zinafanana? Ama nyinyi nani aliwadanganya Kenya bei ya bidhaa ni expensive?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
We have plenty of those in Tanzania and as it seems this is your only longest road which was recently constructed thats why you keep posting it here everytime.
Garissa Nairobi Road is only 340Km and was constructed in 2011, Najua hamjazoea barabara smooth hivo cause almost all Tanzanian roads are either muddy, dusty or full of potholes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ