Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ whaa.!! Idadi ya gorofa mpya that they are under way in kariakoo zinaeza cover all your so called CBDs. πŸ˜‚πŸ˜‚
Building moja tu ya Nairobi is worth more than all the buildings currently under construction in Dar. Do you know the value of 88 Condominium Nairobi?
 
Lakini REA si wanakata tozo?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alaf atakwambia ni mkopo wa over 20b usd in just 3 good years na tena tozo za REA ziko kwenye luku na mafuta, EWURA ziko kwenye luku na mafuta

alaf anaita wenzio looserπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Au siyo Mr hater? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
shule ya umma inauzwa hahahahaha
nyerere afufuke ajionee jamii alioiacha tanzania kaaaahπŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Kama Kuna tozo trillion hamsini zinafanyiwa Nini?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

na hana taarifa mpaka kwenye mafuta kuna tozo za REA yeye anahisi kila mtu ni mwehu kama yeye tu
 
shule ya umma inauzwa hahahahaha
nyerere afufuke ajionee jamii alioiacha tanzania kaaaahπŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
Umebakia wewe tuu kupigwa bei.Wajamaa wanatakiwa.kubaki chini ya Ardhi sio kufufuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…