Unadhani wakenya ni kama nyinyi wenye wanaingia bure?Hawalipi viingilio!
The value of affordable housing alone is more than the value of all ongoing projects in Tanzania.Wapi Kundustan mumeishiwa miradi hata Ile ya cheap affordable houses? 😂😂
Tanzania kazi inaendelea 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DCJc3hqq7cV/?igsh=b21neXJmbDBwejhj
Yaani unaandika Ukiwa unajua unajidanganya ila ndio hakuna miradi utafanya nini Sasa 😂😂The value of affordable housing alone is more than the value of all ongoing projects in Tanzania.
Ukweli ndio huwa hampendi, affordable housing project is valuable than all ongoing projects in Tanzania.Yaani unaandika Ukiwa unajua unajidanganya ila ndio hakuna miradi utafanya nini Sasa 😂😂
Acha ufala Tear hivi kwetu ni viwanja vya mashuleAti watanzania mnapenda Mpira? Ebu nionyeshe any game in Tanzania that doesn’t involve Simba na Yanga kama kuna washabiki. In Kenya all matches stadiums zinakuwa full.
This is Shabana Vs Sofapaka, see how the stadium is full.
View: https://x.com/Magadi_ke/status/1849060478976147885
View: https://x.com/Johnkebati23/status/1849056147036123546
Kundustan nzima hakuna mradi wa namna hii 👇👇Ukweli ndio huwa hampendi, affordable housing project is valuable than all ongoing projects in Tanzania.
Unadhani unapingana na watu wenye hawajui Tanzania? You can’t get such numbers in Tanzania kama game sio ya Simba na Yanga.Acha ufala Tear hivi kwetu ni viwanja vya mashule
Sasa kama unajua ufisadi wa kelemani na hizo kamapuni kwa nini usiweke hadharani hapa?Kidogo kidogo tunaingia kwenye udini,halafu ndio tunarudi pale pale,samia angeamua ufisadi wa kalemani na kampuni alizokua akimiliki na zilivyokua zikilipwa kwenye mradi sgr kusingekalika,yule doto james alivyokua kiungo wa kuiba na kuficha pesa za mnene ni hatari,duniani hakuna mkamilifu na jpm kiuhakika alifanya kazi kubwa lkn si kama ndio alikua msafi sana,kuhusu muendelezo wa miradi ya jpm samia nae anahitaji sifa zake kwa kuiendeleza maana kwa katiba mbovu ya nchi yetu rais ndio kila kitu,angeamua sgr iishie hata moro tusingemfanya cct kama jpm alivyobadilisha mchoro wa daraja la ubungo na kuacha miradi nyumba za kawe n.k
Ignorance.Unadhani unapingana na watu wenye hawajui Tanzania? You can’t get such numbers in Tanzania kama game sio ya Simba na Yanga.
What special with that substandard highway that the banks collapsed at some point immediately after its launch?This Tanzanian came to Mombasa and he couldn’t believe the kind of infrastructure in Kenya.
View: https://x.com/munyamambogo/status/1855216225397170207