Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dau hajawahi kuwa mwizi hata huo anapewa sababu ni mchamungu,dau pale nssf alifanya kazi kubwa sana hata magu mwenyewe alitokea kumkubali sana,nssf ya sasa hivi na ya dau kwa muono wako ipi ni bora?
Madudu ya kigamboni ya kununua ekari moja Kwa million 400 na majumba ya kijichi yalitokea kipindi gani achana fedha alizokopeshwa manji ili ajenge quality center yalitokea kipindi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…