Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nawaambianga you should not waste so much of your time arguing with these Tanzanian hornbills....mtazunguka tu mbuyu mchoke..............Tanzania is one of the poorest of poorest nations on earth.....trust me
 
nawaambianga you should not waste so much of your time arguing with these Tanzanian hornbills....mtazunguka tu mbuyu mchoke..............Tanzania is one of the poorest of poorest nations on earth.....trust me
Poorest anamlisha tajiri hahahahahah wakenya makimba sana aseeee
 
kuna wakenya wanashangaa kuona matajiri wakubwa tanzania ni waarabu.

wanasahau kwamba matajiri kumi bora nchini kenya kwa mujibu wa forbes 2015,wanne ni wahindi.

waliobaki ni kile kikundi kidogo cha wanasiasa wezi na mafisadi waliojimilikisha ardhi kubwa kubwa ikiwemo familia ya uhuru kenyatta.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Forbes 2017[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Money maker alafu hakuna aliye lazimishwa anunue wewe kaa hapo kila kitu kikuyu. Kikuyu milk, kikuyu university , kikuyu avenue, kikuyu town, kikuyu pussy
even those houses they rent in nairobi,are owned by a small group of kikuyu elite.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
😀😀😀tusubiri pia azam condom na azam karanga😀😀...hawa watu ni wajinga sana...😀😀 unachanganya tissue na juice

Unapata azam kuna
Azam TV
Azam radio
Azam juice
Azam tissue
Azam kila kitu
mmesahau even cecafa challenge cup 2017 including the final game that will be played tomorrow in "kenya", is broadcast by "AZAM" tv.

NB:
cecafa challenge cup finals tomorrow:
harambee stars vs zanzibar heroes.
only via azam tv....AZAM hoyeeeeee...AZAM tibim
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tunaionea KBC...
 
kwanza zanzibar jana niliwasikiza wachezaji kadhaa wakizungumza ,kiswahili chao ni kama cha mombasa kabisa,...Kadoda mbona mnazungumza tofauti na waunguja + wapemba
 
kwanza zanzibar jana niliwasikiza wachezaji kadhaa wakizungumza ,kiswahili chao ni kama cha mombasa kabisa,...Kadoda mbona mnazungumza tofauti na waunguja + wapemba
Msee,,Tz kila ukanda una lafudhi yao ya Kiswahili.Lafudhi anayoongea mtu wa Songea inatofautiana na ya mtu wa Mwanza

Kwa hiyo hata lafudhi ya Zenji (Zanzibar) haiwezi fanana na lafudhi ya Mtwara au Arusha,,na huo ndo utamu wenyewe wa Kiswahili,,yaani tunakichezea tunavyotaka lakini bila kupoteza maana ya maneno..!
 
You give a full information. No addition!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…