Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwezi ona watu wanaiba mikate or kukimbilia kwenye magari ya chakula ama matunda yalioanguka wachukue wakale in Tanzania.

Tabia hizi unaona Kenya, Nigeria, South Africa na nchi nyingine za Africa kwa sababu za umasikini na njaa.

Huwezo hilo in Tanzania.
 

Hivi wanajua kwamba pamoja na vurugu zote za dar - dodoma ni treni mbili tu ndo zinafanya kazi .
Ya treni mbili tu ndo zipiga trip 3 kwa siku .
Ya siti Moja ya economy dar-dom inaingiza 93,000 kwa siku huku zile business 210,000 kwa siku.
Hapo hatujafungulia Ile stock ya pale pugu. Hapo Kuna vichwa vimekosa mabehewa mpaka vinatia huruma pale pugu
 
Wenzako wanakimbilia mikate ili kukata bajeti ya toilet paper SI unajua kwao maji mtihani
 
Tanzania wamewachiwa kuomba chakula barabarani kwa nchi za wengine sindio?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
A Nigerian by the name of Enugu state, trying his possible best sanitize his compatriots and his his country. Halafu pumbavu wa Kikenya kwa wivu, chuki aliyo nayo dhidi ya progressive taifa lililo wazidi anaokota tu kila la hovyo mitandaoni.
So Mnaijeria mwenye amesema hivo Hana chuki ila Mkenya aliyeshare humu aba chuki?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Chuki ninayoona hapa imetokea kwako bradhee.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ