Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ww uko na shida kubwa sana. hio Bank ya Rwanda hata ukienda kuomba kazi ya kufagia pekee yake hupati hata utumie mganga gani. kumbuka huyo ni Mkenya, tena CEO wa benki kubwa kabisa Rwanda.
sijasema ulete Manager wa Acacia au Makinikia. Nilitaka ulete Tz's top brain Exports.
 
repost:
this post is for kenyans only:

while you are bragging about your universities over petty issues of beautiful buildings and blablabla,here is a short list of international (non tanzanians) famous alumni of university of dar es salaam who went to hold powerful positions in their countries including head of state.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

so i challenge all kenyans to show us any international (non kenyan) alumni from universities of kenya,who became the head of state or a CEO in his/her country.

nasubiri majibu sihitaji povu...ila kama huna majibu,basi ruksa kutoa povu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hao watu sioni CV yao kwa Google
 
My friend kuwa manager wa bank ni kuchoshana tu. Duniani kuna banks nyingi sana. Unachotaka kuleta hapa ni utoto. Mimi ninakuwekea recognized organization any where in the world. Wewe unaniletea Bank ya Rwanda!!? Shame on you.
Hapa nikuwekea watanzania ambao ni Managers kwenye international companies hatutapata pa kuweka.
Wewe Nimekuwekea. Nitajie mkenya yoyote ambaye amewahi kuwa kwenye top level ya UN organs.
 
lol. says a 40something year old fella. ww kwanza umejaa utoto mwingi sana kama hujui
 
Name of the Bank?
Not only banks, Many organizations and Companies. Acha utoto bana. Watanzania wengi sana wameajiliwa kwenye makampuni mengi tu duniani. Nioneshe top level kwenye UN organs. Mbona unakwepesha.
Utaanza kutaja wakuu wa shule waliotoka kenya sasa.
 
Name of the Bank?
Amka janja........hata haujishtukii huo unaoleta ni ukid ...

Hebu zindua brain yako hiyo hauna chakulinganisha hao wakimbizi wa kenya na wprld international leaders from tanzania bora ukaushe tu
 
Amka janja........hata haujishtukii huo unaoleta ni ukid ...

Hebu zindua brain yako hiyo hauna chakulinganisha hao wakimbizi wa kenya na wprld international leaders from tanzania bora ukaushe tu
Amina Mohamed alijaribu kujitupa huko aliangukia pua. Mpaka sasa wakenya hawana hamu.
 
Not only banks, Many organizations and Companies. Acha utoto bana. Watanzania wengi sana wameajiliwa kwenye makampuni mengi tu duniani. Nioneshe top level kwenye UN organs. Mbona unakwepesha.
Utaanza kutaja wakuu wa shule waliotoka kenya sasa.
My friend... hujui kujadili. Huko kote tulikuwa tunakuja. That is why nikakwambia sitaki wanasiasa. Secretary General wa UN ni Mkenya
Mukhisa Kituyi - Wikipedia
 
Amina Mohamed alijaribu kujitupa huko aliangukia pua. Mpaka sasa wakenya hawana hamu.
Infact many Kenyans celebrated her loss kama huna habari (i included). the Corrupt UhuRuto used a lot of taxpayers money to bribe countries to vote for her
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…