President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,666
- 94,316
We jamaa wiki si nyingi utakuwa kichaaWakati Kenya police is using Subarus and Volkswagen nyinyi bado mnatumia proboxπππ€£π€£
View attachment 3122571
View attachment 3122572
Huyo nyangβau tayari ni kichaa na jana wakameruni ndio wamemvuruga kabisaπWe jamaa wiki si nyingi utakuwa kichaa
Utokuja na utowahi kukubali kitu cha TZ ila ukweli utakua unaujua so ni maumivu tu ya chuki ndio yatakayokutesaBila wakenya hiyo festival haingefanyika. Itβs good you recognize the Kenyan influence in anything happening in Tanzania.
Arafu nyie kunyan kima mnajua tuna magari ya kutumia gas arafu tunazalisha gas?Hanspaul car assembler wako na thousands tour cars za umeme. ππΎView attachment 3121175View attachment 3121176
Toyota Defender ndio Nini? π€£π€£ππππ police Tz gari yap kubwa wanayotumia ni toyota defender . ππΎView attachment 3122573View attachment 3122574
Hivi mbona wewe hauko huko? Utawai toka Manzese lini?Huko Nairobi amebaki Teargas na Rafiki zake akina nairobae na NairobiWalker wengine wote wapo Tanzania Arusha
View attachment 3122619
Mazese hii hapa mdogo wangu:- π π π πHivi mbona wewe hauko huko? Utawai toka Manzese lini?
kwani aliitwa au kiherehere chake??ππNina rafiki yangu ameenda hii event naona akirusha picha pale Whatsapp. Gari za Kenya ndio za maana hapo.
View attachment 3122507
Kiherehere chake Mharoboy. Kenyans are natural tourists. Fuata hii channel ujionee.kwani aliitwa au kiherehere chake??ππ
sio wakenya tu kuna gari zimetoka mpaka south africa, zambia , namibia etc πππKiherehere chake Mharoboy. Kenyans are natural tourists. Fuata hii channel ujionee.
View: https://youtu.be/0_3Fz4TOaYc?si=cJKfWDdU5XA88IrI
Nina rafiki yangu ameenda hii event naona akirusha picha pale Whatsapp. Gari za Kenya ndio za maana hapo.
View attachment 3122507