Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzanians are always behind. Juzi amenunua basi kama hizi, kwa jeshi lao, walizipost kila mahali wakifikiri ni So Special. Kumbe huku hutumiwa na NYS 🤣🤣 Fools
 
Barabara zenye closed drainage moshi is only one na hiyo closed drainage ni ya 20 meters pekee.

Here is the true picture of Moshi Drainage. Alafu barabara kama zote huko moshi ni Vumbi.

 
Treni za Tanzania are designed for higher speed,sasa viti kama hivyo vya nini!?
Huo mtindo ni sawa na deluxe zetu za MGR.
Unapozungumzia SGR ya Tanzania unazungumzia kuhusu speed.
Sasa wewe Quack unajua nini? You are always clueless about everything.
 
Lamamayee nimetoka kuangalia Kenya vs Cameroon kwasasa Kenya anaongozwa goli 4.
😂😂😂😂😂😂Siye jana tumejifunga bahati mbaya ndio DR Congo akabahatika ushindi.
Ila hizi mburukenge zimegongeka 4 na mpira bado haujesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…